thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Mwigulu ni hasara ya taifaHizo ndio best za Mwigulu.. unfortunately!
Chadema pamoja na tuhama zenu zote za Kijinga mmewahi kuweka ushahidi hadharani ?Wewe na Mwigulu wote mnafanana akili (kama mnazo lakini).
Kwa mtu ambaye kakaa darasani muda mrefu sikutegemea kama angekuwa mropokaji, azungumze vitu bila ushahidi na kama anao ushahidi basi auweke hadharani.
Tunatukanwa sana wanaCcm kila kona kwa sababu ya wapuuzi wachache ambao hawawezi kuacha nguvu ya hoja ikafanya kazi na badala yake kutegemea hoja ya nguvu, shame on you and the likes!!!
Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app