Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Baadhi ya wagombea Urais na Ubunge wamekwishapewa advance ya kuuza nchi

Maneno haya kayasema leo singida mjini wakati akitambulishwa na mgombea urais wa CCM Dr John Pombe Magufuli alipokuwa akiomba kura ili apate ridhaa mara ya pili kuitumikia nchi.

Katika matamshi yake ummati ulilipuka kwa shangwe huku ukisapoti asemayo Mwigulu Nchemba.

Wanasingida wameahidi kuipa ccm kura zote za ndio kwa nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani.
Wamesema chama cha wajanja janja (CHADEMA),kitaisoma namba.
Je kuna ukweli wowote katika matamshi yake?
Tujadili hoja yake kama ina ukweli na si kumjadili mleta hoja (Mwigulu)personal

Karibuni wanajukwaa

Kanuni za uchaguzi zinasema je kuhusu uzushi na uchochezi?

Asiachwe hivi hivi huyu.
 
Wana mawazo ya kijima kweli kweli na bosi wake bado wanaamini wanaweza kuwa kisiwa thus wamevunja hata jumuia ya afrika mashariki zaidi ya Burundi hawana rafiki
Hatutaki wezi wa raslimali zetu baada ya muda watatuelewa tu si umeona USA wametuelewa sasa wameacha matamko yao ya ovyo ya kila siku. Sasa tungewatetemekea sasa hivi tungekuwa bado tumefungiwa majumbani. Lazima tujitambue kuwa sisi ni taifa huru asiyetaka ahame nchi kama alivyohama Msaliti Lissu.
 
Hatutaki wezi wa raslimari zetu baada ya muda watatuelewa tu si umeona USA wametuelewa sasa wameacha matamko yao ya ovyo ya kila siku. Sasa tungewatetemekea sasa hivi tungekuwa bado tumefungiwa majumbani. Lazima tujitambue kuwa sisi ni taifa huru asiyetaka ahame nchi kama alivyohama Msaliti Lissu.
Taifa huru halitegemei kujengewa vyoo na mabeberu,wala bajeti yake kukamilishwa na mabeberu
 
Ndiyo tunapambana ili tuondokane na utegemezi huo. Sasa nyinyi mnataka tuendelee kubaki huko!
 
Ukijui kikombe kwa ndani,bila demokrasia hakuna maendeleo
Hiyo demokrasi unayoisema haikuwepo wakati wa industrialization huko Marekani na ndipo maendeleo ya Marekani yalipoasisiwa! Hiki kitu kinachoitwa Demokrasi kimeletwa na Wamarekani ili kuwapumbaza Waafrika na ndiyo maana kinalazimishwa sana Afrika na wala si China, Urusi, Saudia nk. Siku Waafrika waking'amua ndiyo kutakuwa na maendeleo ya kweli.
 
Hiyo kutoelumika ndio mtaji wa sisiemu siku zote
Kutoelimika ndiyo nini?? Elimu ya Kizungu au? Elimu ya kizungu inamfundisha mwanafunzi kukariri na wala si kuelewa au kujitambua/kufikiri. Ndiyo maana vijana wengi sana siku hizi wanakariri sana lakini wakienda kwenye maisha halisi hawafaulu. Europian education system in Africa promotes remembering not thinking!!
 
You are stupid
 
Alichoongea mwigulu ana anachoongea Tundu ni rahisi sana wananchi kuielewa CCM zaidi ya Chadema.
CCM wanawajua wananchi na wapiga kura na wanachofanya ni kuwapa vitu wanavyovipenda na sio kuwaaminisha vitu wasivyovijua wala kuvihitaji wakati huo upinzani wanawalazimisha wapiga kura kuamini vitu wasivyovijua au kuvipenda.

Kwa kifupi upinzani hawakujiandaa kushinda, hawawajui wapiga kura wao kabisaaa, hawana umoja kila chama kinataka ubunge udiwani na urais. Na wanaoichukia CCM na kujinasibu kuupenda upinzani wengi wao sio wanasiasa ila ni watu waliguswa au kifinywa na mabadiliko ya mfumo wa serikali na hawamtaki Magufuli.
Haiwezekani kumshinda kwa kutoa comments kwenye mitandao, sio rahisi kabisa.... haiwezekani wewe humpendi magufuli halafu ukawa umekaa tuu ukisubiri miaka yake5 aondoke... Wakati wewe unasubiri aondolewe na wagombea urais na ubunge yeye hakuwa amelala, alikua anafanya kazi kujiimarisha
Crimea
 
Hiyo demokrasi unayoisema haikuwepo wakati wa industrialization huko Marekani na ndipo maendeleo ya Marekani yalipoasisiwa! Hiki kitu kinachoitwa Demokrasi kimeletwa na Wamarekani ili kuwapumbaza Waafrika na ndiyo maana kinalazimishwa sana Afrika na wala si China, Urusi, Saudia nk. Siku Waafrika waking'amua ndiyo kutakuwa na maendeleo ya kweli.
Miaka 60 afrika imeongozwa kijamaa na kidikteta mbona hakuna maendeleo,ccm bila presha ya upinzani hata choo haiwezi jenga
 
Alichoongea mwigulu ana anachoongea Tundu ni rahisi sana wananchi kuielewa CCM zaidi ya Chadema.
CCM wanawajua wananchi na wapiga kura na wanachofanya ni kuwapa vitu wanavyovipenda na sio kuwaaminisha vitu wasivyovijua wala kuvihitaji wakati huo upinzani wanawalazimisha wapiga kura kuamini vitu wasivyovijua au kuvipenda.

Kwa kifupi upinzani hawakujiandaa kushinda, hawawajui wapiga kura wao kabisaaa, hawana umoja kila chama kinataka ubunge udiwani na urais. Na wanaoichukia CCM na kujinasibu kuupenda upinzani wengi wao sio wanasiasa ila ni watu waliguswa au kifinywa na mabadiliko ya mfumo wa serikali na hawamtaki Magufuli.
Haiwezekani kumshinda kwa kutoa comments kwenye mitandao, sio rahisi kabisa.... haiwezekani wewe humpendi magufuli halafu ukawa umekaa tuu ukisubiri miaka yake5 aondoke... Wakati wewe unasubiri aondolewe na wagombea urais na ubunge yeye hakuwa amelala, alikua anafanya kazi kujiimarisha
Crimea
Njaa na mateso ya miaka 5 ni kampeni tosha watapiga kampeni IPI mpya kila MTU kaumizwa hivyo kuichagua ccm tena ni kuhalalisha kuteswa kwako safari sio mitano tena huyu MTU akirudi atoki tena ni 2040 huku nchi ikiwa imesambaratika vibaya kabisa.
 
Back
Top Bottom