Ujenzi wa taifa ni Sanaa ya kificho iliyowekwa wazi.
"Power is defined as one’s capacity to alter another person’s condition or state of mind by providing or withholding resources—such as food, money, knowledge, and affection—or administering punishments, such as physical harm, job termination, or social ostracism. This definition de-emphasizes how a person actually acts, and instead stresses the individual’s capacity to affect others"
Ukoloni umejificha nyuma ya hii nadharia ya Power.. na umesukwa vizuri Sana kwenye maisha tulioumbiwa na mara nyingi viashiria vyake huwawapita wasomi bila hata kujua kwamba wanasongesha gurudumu la Ukoloni.
NCHI HURU inajengwa na watu huru, wasiokuwa chini ya influence or pressure ya Aina yoyote kutoka nje ya kundi lao. Wanaamua na kuchagua na kufanya maamuzi kwa kuzingatia misimamo yao, shida zao na matakwa yao.
Walichoweza Wazungu (and I applaud them) ni kuumba mifumo endelevu. Kwanza wakaitawala Afrika kwa mabavu wakaset mifumo yao ya kielimu na kiuongozi.. ambayo inalenga kuwapa the upper hand in predicting the future and combating any harm that might arise.
Kisha wakaondoka wakituacha tumeng'ang'ania mifumo hii sisi wenyewe bila bakora(kwa utashi wa kuwa Kama wao). Leo hii Juma nenda shule uwe mtumishi wa Serikali.. uwe subject to the master maana majority ya Serikali zetu zipo heavily debted if not reliant to the "Masters" in so many ways.
Wakitokea viongozi wanaojaribu kudisturb hiyo balance wanakuwa vikwazo kwao.. na Kama Taifa mkiyumba watawaendesha Sana..na forms of punishments kama economic sanctions just to regain control.
Kwenye power there is nothing dangerous like people being true to their beliefs. "Somali and Arabs" most of these men and women do believe in something other than the ideologies of West.. they did not give up who they are for the new ways of the Masters.. and that TERRIFIES the west.
Huku kwetu we are trained puppies still working in what is perceived to be our country ( but we are still subjects to the colonial masters) feeding the Masters in Europe.
Corona saga and the way our Leader delt with it.. is very reassuring to mass of Tanzania.. Leo hii Watanzania wanajiamini Sana... Because for once they have made a choice that is totally theirs, now if we continue in same trajectory we will be truly independent.
Hata leo the same tricks used in 1800's za wamisionari (leo NGO's) na Explorers (leo Wanafunzi wa exchange program na Doctors without borders [emoji16]) kupewa Vioo (Misaada ya kifedha kwa watu directly hasa Prominent figures in NGOs wakiwemo wanasheria nguli) zinaendelea kustrengthen presence of European Masters in Africa.
Tuchague Kujiamini, Tuchague Uhuru na Tuchague Ukuu. Viva [emoji1241].
Sent from my Infinix X650 using
JamiiForums mobile app