Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mwana-CCM kabisaa tena kindakindaki ila kuwa kwangu mwana-CCM hakunifanyi niwe 'MJUMBE NDIYO'.Wewe sio mwanaCCM, acha kujipendekeza..[emoji23]
Hilo Limwigulu lenyewe mbona limeuza Iramba kwa Warombo kwao Ester? Jinga sana, resources zilizotakiwa kujenga Iramba kahamishia Rombo.Chadema pamoja na tuhama zenu zote za Kijinga mmewahi kuweka ushahidi hadharani ?
Kama anao tena ule ushahidi wa kutoa duniani na hata mbinguni aupeleke pia na TAKUKURUCCMManeno haya kayasema leo singida mjini wakati akitambulishwa na mgombea urais wa CCM Dr John Pombe Magufuli alipokuwa akiomba kura ili apate ridhaa mara ya pili kuitumikia nchi.
Katika matamshi yake ummati ulilipuka kwa shangwe huku ukisapoti asemayo Mwigulu Nchemba.
Wanasingida wameahidi kuipa ccm kura zote za ndio kwa nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani.
Wamesema chama cha wajanja janja (CHADEMA),kitaisoma namba.
Je, kuna ukweli wowote katika matamshi yake?
Tujadili hoja yake kama ina ukweli na si kumjadili mleta hoja (Mwigulu)personal
Karibuni wanajukwaa
Kwa watu walio soma vileee vitabu vya literature kuna mambo Yana reflect kabxaa mfano kwenye “An Enemy Of The People” Tundu Lissu anasimama kama Dr. Stockman pia kuna “His Excellency the Head of The State” Humu unamkuta Makonda na Magufuli By the way Literature is realNimesikia mtu anasema Urais ni kazi ngumu kweli, analalamika eti hiyo kazi anajitolea kweli
cha ajabu hataki kuiacha amewafukuza chama mpaka waliotaka kugombea nae huko ccm.... nimemkumbuka mtu mmoja anaitwa Chief Nanga kwenye kitabu cha “A Man of the people.”