Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Baadhi ya wagombea Urais na Ubunge wamekwishapewa advance ya kuuza nchi

Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Baadhi ya wagombea Urais na Ubunge wamekwishapewa advance ya kuuza nchi

Nilikuepo kwenye mkutano huu.binafsi naona kama mbinu yakuwadanganya watz kua Yule kaisha chukua advance atauza nchi nimbinu zakishamba nakipumbavu.watanzania waleo niwaelewa Sana tofauti namiaka yanyuma,mfano ccm inakubalka Sana singida lakn Leo singida mjin mbuge wao sijui kama ata ludi ingawa magufuri anauwakika wakura.kashuhudia mwenyewe waziwazi uyo musa sima akizomewa nakukataliwa nawananchi.apo chadema wakitulia wanatwaa jmbo hili asubuh namapema.iyo imetosha kunidhilshia watazania niwaelewa.Nb....Naomba nisitukanwe maana sina chama chochote najua kunawatu huwa hawachoki kutusi watu.me nko kwenye utaft tu jana nlkua Arusha Leo singida.
 
Kamwambie Mwigulu, propaganda za mwaka 1947 hazifanyi kazi karne hii ya 21. Hakuna mgombea wa kuuza nchi. Walioiharibu nchi na wanaoiharibu nchi ni nyie CCM
 
Madaktari wa Falsafa wa Tanzania... ndo maana sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusoma, kuandika si lazima maana unaweza kuandikiwa na binti yako kama aliyekuwa mbunge wa Nkasi Kaskazini.
 
Wale wanaompotosha M/kiti kwa kutokumshauri vizuri kwa maslahi yao wajiandae kisaikolojia,kwa siku sii nyingi ukweli utajitenga nauongo.
 
Yaani kwa kweli nashangaa sana. Badala ya kujibu hoja ya Mwigulu wanafanya 'personal attack'
Hoja hujibiwa kwa hoja
Uchaguzi wa mwaka huu ni mwepesi mno
Tunatakiwa kuchagua vitu au maneno matupu
 
Nyama ya fuso ikiingia kwenye ubongo sawasawa unakuwa unajipendekeza kama Punda ili ubebeshwe mizigo ya wakubwa
 
Mwigulu, tangu alipotimuliwa tu uwaziri, kwa anayemfahamu vizuri atagundua, mpaka sasa akili yake haijawa sawasawa. Toka wakati huo mpaka leo, hajawahi kuongea kitu chochote cha maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi najaribu kukumbusha tu,wanaotoa ushauri wasitangulize maslahi yao peke yao Hilo linatugharimu kwa mengi Kama taifa.
 
Mwigulu, tangu alipotimuliwa tu uwaziri, kwa anayemfahamu vizuri atagundua, mpaka sasa akili yake haijawa sawasawa. Toka wakati huo mpaka leo, hajawahi kuongea kitu chochote cha maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea anayemsikiliza ana akili za namna gani. Inewezekana msikilizaji naye azimo sasa ataweza kumwelewa kweli?
 
Back
Top Bottom