Wewe sio mwanaCCM, acha kujipendekeza..😂Wewe na Mwigulu wote mnafanana akili (kama mnazo lakini).
Kwa mtu ambaye kakaa darasani muda mrefu sikutegemea kama angekuwa mropokaji, azungumze vitu bila ushahidi na kama anao ushahidi basi auweke hadharani.
Tunatukanwa sana wanaCcm kila kona kwa sababu ya wapuuzi wachache ambao hawawezi kuacha nguvu ya hoja ikafanya kazi na badala yake kutegemea hoja ya nguvu, shame on you and the likes!!!
Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app
Nilimsikia mgombea ubunge kupitia CCM shinyanga mjini akisema Lisu kapewa Tsh15b ajili ya kampeni ya uraisi na watu wa nje !Maneno haya kayasema leo singida mjini wakati akitambulishwa na mgombea urais wa CCM Dr John Pombe Magufuli alipokuwa akiomba kura ili apate ridhaa mara ya pili kuitumikia nchi.
Katika matamshi yake ummati ulilipuka kwa shangwe huku ukisapoti asemayo Mwigulu Nchemba.
Wanasingida wameahidi kuipa ccm kura zote za ndio kwa nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani.
Wamesema chama cha wajanja janja (CHADEMA),kitaisoma namba.
Je kuna ukweli wowote katika matamshi yake?
Tujadili hoja yake kama ina ukweli na si kumjadili mleta hoja (Mwigulu)personal
Karibuni wanajukwaa
Hiyo 2040 si alishaikataa 😁😁😁😁😁Njaa na mateso ya miaka 5 ni kampeni tosha watapiga kampeni IPI mpya kila MTU kaumizwa hivyo kuichagua ccm tena ni kuhalalisha kuteswa kwako safari sio mitano tena huyu MTU akirudi atoki tena ni 2040 huku nchi ikiwa imesambaratika vibaya kabisa.
Hii point ya mwigulu itawasumbua sana Chadema, vile tuu hawawajui wapiga kura waoNilimsikia mgombea ubunge kupitia CCM shinyanga mjini akisema Lisu kapewa Tsh15b ajili ya kampeni ya uraisi na watu wa nje !
Yule bwana Robert Amsterdam wa ile kampuni ya uwakili yenye ofisi zake London na Washington ni wa gharama kubwa sana ! Aliwahi kuwa simamia akina bilionea Mikhail kordokhosky wa urusi na Thakshin Shinawatra wa Thailand (very high profile figures) . Kwa sasa ndio wakili wa Lisu, labda bwana Mwigulu ndio anapotilia shaka kua ni akina nani wako nyuma ya malipo yake.
Mmh ! Mi sijui bana.
Kwani Ukoloni uliingia lini hapa Afrika? Kwa taarifa yako ustaarabu ulianzia Afrika pale Misri! Baadaye wakoloni walikuja na kuvamia na baada ya hapo ndiyo mambo ya kuitawala Afrika ikaanza mpaka wakafikia wazungu kuigawanya ndiyo mipaka ya nchi na nchi ilipoanza ili kuchukua resources zetu. Baada ya ukoloni wa enzi sasa wamekuja na ukoloni mambo leo kwa kisingizio cha demokrasi na kupandikiza wasaliti. Hii huwezi elewa mpaka ukae utulize akili kidogo! Hebu nieleze kwanini UK na Ulaya bado kuna uongozi wa kifalme/Kibikra? Lakini wakifanya Waafrika unaitwa Udikiteta?? Wameanza siku nyingi. Soma hapa chini labda utanielewa lakini ukiwa umeweka akili zako free.Miaka 60 afrika imeongozwa kijamaa na kidikteta mbona hakuna maendeleo,ccm bila presha ya upinzani hata choo haiwezi jenga
Nimeongea na hii😍Kwani Ukoloni uliingia lini hapa Afrika? Kwa taarifa yako ustaarabu ulianzia Afrika pale Misri! Baadaye wakoloni walikuja na kuvamia na baada ya hapo ndiyo mambo ya kuitawala Afrika ikaanza mpaka wakafikia wazungu kuigawanya ndiyo mipaka ya nchi na nchi ilipoanza ili kuchukua resources zetu. Baada ya ukoloni wa enzi sasa wamekuja na ukoloni mambo leo kwa kisingizio cha demokrasi na kupandikiza wasaliti. Hii huwezi elewa mpaka ukae utulize akili kidogo! Hebu nieleze kwanini UK na Ulaya bado kuna uongozi wa kifalme/Kibikra? Lakini wakifanya Waafrika unaitwa Udikiteta?? Wameanza siku nyingi. Soma hapa chini labda utanielewa lakini ukiwa umeweka akili zako free.
View attachment 1555722
Huko Asia,brazili,Vietnam, Korea nk wao hawakutawaliwa au huo ukoloni mamboleo upo afrika pekee,mifumo mibovu ya uongozi afrika ndio chanzo cha kushindwa kwetu kuwalaumu waliondoka na begi tu kila kitu wameacha afrika ni ufukara wa kufikiri,kama tulikuwa na maendeleo kabla yao why tupo dhoofu hali kuliko hata kabla ya uhuruKwani Ukoloni uliingia lini hapa Afrika? Kwa taarifa yako ustaarabu ulianzia Afrika pale Misri! Baadaye wakoloni walikuja na kuvamia na baada ya hapo ndiyo mambo ya kuitawala Afrika ikaanza mpaka wakafikia wazungu kuigawanya ndiyo mipaka ya nchi na nchi ilipoanza ili kuchukua resources zetu. Baada ya ukoloni wa enzi sasa wamekuja na ukoloni mambo leo kwa kisingizio cha demokrasi na kupandikiza wasaliti. Hii huwezi elewa mpaka ukae utulize akili kidogo! Hebu nieleze kwanini UK na Ulaya bado kuna uongozi wa kifalme/Kibikra? Lakini wakifanya Waafrika unaitwa Udikiteta?? Wameanza siku nyingi. Soma hapa chini labda utanielewa lakini ukiwa umeweka akili zako free.
View attachment 1555722
Wajitokeze wampinge. Wote wakikaa kimya basi hoja itasimama
Pingeni Kwanza nyie, KamaWajitokeze wampinge. Wote wakikaa kimya basi hoja itasimama
Kama hujaelewa nilichoandika hapo juu pia huyo Mwingereza alichohutubia kwenye Bunge la Uingereza mwaka 1835! Basi nimeshindwa mimi tuendelee na siasa uchwara!!Huko Asia,brazili,Vietnam, Korea nk wao hawakutawaliwa au huo ukoloni mamboleo upo afrika pekee,mifumo mibovu ya uongozi afrika ndio chanzo cha kushindwa kwetu kuwalaumu waliondoka na begi tu kila kitu wameacha afrika ni ufukara wa kufikiri,kama tulikuwa na maendeleo kabla yao why tupo dhoofu hali kuliko hata kabla ya uhuru
Ukweli upo, maana mgombea wa Chadema anasema kila kitu anafanya kwa kifua cha mabeberu. Yaani anasema mabeberu wanamlinda.Maneno haya kayasema leo singida mjini wakati akitambulishwa na mgombea urais wa CCM Dr John Pombe Magufuli alipokuwa akiomba kura ili apate ridhaa mara ya pili kuitumikia nchi.
Katika matamshi yake ummati ulilipuka kwa shangwe huku ukisapoti asemayo Mwigulu Nchemba.
Wanasingida wameahidi kuipa ccm kura zote za ndio kwa nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani.
Wamesema chama cha wajanja janja (CHADEMA),kitaisoma namba.
Je kuna ukweli wowote katika matamshi yake?
Tujadili hoja yake kama ina ukweli na si kumjadili mleta hoja (Mwigulu)personal
Karibuni wanajukwaa
Maneno haya kayasema leo singida mjini wakati akitambulishwa na mgombea urais wa CCM Dr John Pombe Magufuli alipokuwa akiomba kura ili apate ridhaa mara ya pili kuitumikia nchi.

Je, kuna ukweli wowote katika matamshi yake?
Tujadili hoja yake kama ina ukweli na si kumjadili mleta hoja (Mwigulu)personal
Karibuni wanajukwaa