PostGE2025 Mwigulu Nchemba: Chunguzeni Mali za viongozi wenye viashiria vya rushwa

PostGE2025 Mwigulu Nchemba: Chunguzeni Mali za viongozi wenye viashiria vya rushwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wa Sekretarieti ya Maadili kwa Viongozi wa Umma kuchunguza mali za viongozi wenye viashiria vya rushwa.
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wa Sekretarieti ya Maadili kwa Viongozi wa Umma kuchunguza mali za viongozi wenye viashiria vya rushwa.


Wanasingida wanasubiria Jimbo lake liwe kama Tokyo Japan ili sikumoja Lissu akitoka Gerezani akifika Singida ashangae na ajiulize hapa ni wapi???
 
mpaka wanaiba serikali ilikuwa wapi? na je kwa nini msishughulike na rushwa pia. Viongozi wengi wa chama tawala na serikali ni wezi , utajiri wao unatia mashaka sana.
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wa Sekretarieti ya Maadili kwa Viongozi wa Umma kuchunguza mali za viongozi wenye viashiria vya rushwa.
Ebu wewe mchunguze kwanza huyo mkuu wa TISS na mama kizigha pamoja na mtoto wake.. Hawa ni rika lako kwa nafasi zao katika serikali na ukaribu wao kwa Samia.
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wa Sekretarieti ya Maadili kwa Viongozi wa Umma kuchunguza mali za viongozi wenye viashiria vya

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wa Sekretarieti ya Maadili kwa Viongozi wa Umma kuchunguza mali za viongozi wenye viashiria vya rushwa.
Unajua hii inchi ndiyo maana tunahitaji maandamano ili tuzikomeshe hizo bongo Move,aliyekemea ufisadi kwa vitendo ni Magufuri peke yake
 
Watu kama Mwigulu ndio wanaotakiwa kutambulika kama viongozi wa wananchi.
Kuna wapumbavu wengine badala wawajibike kwa wananchi wanatangaza kabisa kwamba kila fisadi ale kwa urefu wa kamba yake
 
Back
Top Bottom