PostGE2025 Mwigulu Nchemba: Chunguzeni Mali za viongozi wenye viashiria vya rushwa

PostGE2025 Mwigulu Nchemba: Chunguzeni Mali za viongozi wenye viashiria vya rushwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Unajua hii inchi ndiyo maana tunahitaji maandamano ili tuzikomeshe hizo bongo Move,aliyekemea ufisadi kwa vitendo ni Magufuri peke yake
Magufuli unayemzungumzia hapa ni yule aliyemtimua CAG prof. Assad (aliyebainisha upotevvu wa 1.5t) au magufuli mwingine?
 
Hamsini tu na singida weusi stars
Waanze na yeye Mwigulu Nchemba Lameck Madelu, kwanza jina lenyewe tu linaashiria rushwa. Halafu kachote tena pesa maana mabasi yako robo yamepigwa kiberiti.Halafu Samiya, na Abdul, na wale wauaji wengine.
 
Magufuli unayemzungumzia hapa ni yule aliyemtimua CAG prof. Assad (aliyebainisha upotevvu wa 1.5t) au magufuli mwingine?
Afadhali alikuwa na uthubutu na watu waliiacha kuchukua rushwa,siyo haya maigizo ya mwigulu
 
Gulu ujikaze wakikufikia.
Hamna kitu humo hata yeye mwenyewe anajua anaongea kufurahisha baraza tu hapo.

Yaani alimradi wamekusanyana wametia matakoni posho ya siku hakuna cha ziada kitakachoendelea,watakutana tena 2030 kwenye kikao kama hiki huku wakijua wazi yale ya 2025 hamna hata moja lililotekelezwa.
 
waanze kuchunguza waizi wa kura
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wa Sekretarieti ya Maadili kwa Viongozi wa Umma kuchunguza mali za viongozi wenye viashiria vya rushwa.
Tunaanza na mabasi ya ester atuambie yule mmoja wamiliki mwenye jina la Neema Kwa mujibu wa BRELA ni nani?!
 
Kuna mtu au watu wanatafutwa soon tutasikia milio
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wa Sekretarieti ya Maadili kwa Viongozi wa Umma kuchunguza mali za viongozi wenye viashiria vya rushwa.
Ningekuwa karibu ningempa KERBU matata sana Lameck Madelu kwa kutuona waTZ wajinga ,yeye ndiyo JIZI namba mbili baada ya Kizimkazi...Waanze kumchunguza yeye kwa rushwa na wizi wa mali za umma.
 
Taunze na yeye mwenyewe., Ana mabasi kama yote na anaendesha timu ya mpira.
 
Back
Top Bottom