utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Akichangia bungeni muda huu mwigullu nchemba madellu lameck amesema yupo tayari kutoa ushahidi popote pale hata mbinguni kuthibitisha video ya lwakatare jinsi alivyoipata, kiongozi wa chadema aliyempa pia yupo tayari. Amelitaka jeshi la polisi limkamate mbowe kwa sababu ndiye anayewasiliana sana na LWAKATARE.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida,Spika makinda ameendelea kutetea uvunjifu wa kanuni za bunge pale mwigulu nchemba aliposimama na kushambulia chadema na viongozi wake hasa mbowe kwa kumtaja jina na akisema hawa wote ni magaidi hali iliyopelekea Joseph Thelathin aombe utaratibu kumtaka mwigulu kufuta kauli yake ya kumshambulia mbowe kibinafsi na kumtaka aache kuongele swala lililo mahakamani.hili linaenda pabaya kama makinda hajakoma tabia ya kutetea upuuzi
Akichangia bungeni muda huu mwigullu nchemba madellu lameck amesema yupo tayari kutoa ushahidi popote pale hata mbinguni kuthibitisha video ya lwakatare jinsi alivyoipata, kiongozi wa chadema aliyempa pia yupo tayari. Amelitaka jeshi la polisi limkamate mbowe kwa sababu ndiye anayewasiliana sana na LWAKATARE.
Mwigulu anasema atatoa ushahidi kwamba cdm inahusika na kupanga mauwaji....Katika hali isiyokuwa ya kawaida,Spika makinda ameendelea kutetea uvunjifu wa kanuni za bunge pale mwigulu nchemba aliposimama na kushambulia chadema na viongozi wake hasa mbowe kwa kumtaja jina na akisema hawa wote ni magaidi hali iliyopelekea Joseph Thelathin aombe utaratibu kumtaka mwigulu kufuta kauli yake ya kumshambulia mbowe kibinafsi na kumtaka aache kuongele swala lililo mahakamani.hili linaenda pabaya kama makinda hajakoma tabia ya kutetea upuuzi