Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

Nimemsikia pia akisema kuwa viongozi wa CHADEMA wasihangaike na kuzua uongo kuwa Usalama wa Taifa na polisi wanatekeleza mpango wa kukidhoofisha chama hicho kisiasa. kwamba kiongozi wa chadema aliyempa mkanda huo yupo tayari kutoa ushahidi na yeye (NCHEMBA) yupo tayari kutoa ushahidi iwe Bungeni, Polisi, Mahakamani na hata Mbinguni
Mbinguni? Nchemba? Ingawa Shetani huenda huko kushtaki, sijui kama huyu ataruhusiwa. Maana anakaribia kumzidi.
 
Wabunge wa TZ wanapoteza muda mwingi kujibizana kuliko kujadiri hoja.. Mh Nchemba amenisikitisha sana maana ameidharau mahakama na amevunja kanuni za bunge huku spika akisema "mkuki kwa nguruwe"😡

kweli mkuu sheria hairuhusu kujadili mambo yaliyopo mahakamani lakini jana kama ulimsikiliza mbowe kwenye hotuba yake alianza yeye kuongelea haya mambo yaliyoko mahakamani kwa hiyo mbowe alianza mwigulu alikuwa anajibu hotuba ya mbowe
 
hili jamaa uwelewa wake ni mdogo sana, atachukiwa sana na jamii kwa siasa zake za kipuuzi na kwa kwendo huu hatafika mbali kisiasa.

Wazee mkeemeeni kijana huyu maana ameivamia siasa kwa pupa.

Mkuki kwa Nguruwe......... jana wakati Mbowe akiwasilisha malalamiko ya kambi ya upinzani mlishangilia. leo mmejibiwa mnaanza kutapatapa
 
this was planned.muongozo umeombwa wakati Mwigulu ameanza attacks zake,bi kidude akamezea kumpa muda jamaa amalizie.Baadae ndio anarule kwamba kanuni zifuatwe na wabunge wote,this is shamefull.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mbona anaongelea Bungeni? ili kupata kinga? Mwigulu Nchemba ongelea uraiani, tukuone...
 
Last edited by a moderator:
Lakini kweli ile statement yake ya "Mkuki kwa Nguruwe" ilikuwa inamlenga nani?
 
jamani hivi kuna spika mbaya sura na roho kama Anna Makinda?world wide
 
Kesi hii itaibua mengi,lakini ninamsikitikia Mwigulu pale itakapojulikana ni mchezo ulichezwa aibu hii sijui ataipeleka wapi.Aibu kwa spika nadhani kilevi cha madaraka kimemlevya atajutia baadaye ,aliyejuu tunamngoja chini.
 
afu akasema tena report ya kambi ya upinzani imetoa malalamiko kuhusu zero nyngi walizopata form four without alternative solution then akasema kwani mbowe alipata div ngapi akimaanisha kwamba alipata zero
 
Mwigulu ni janga mana alikuwa anatoa povu
 
Huyu jamaa amepanic ndomana anatapatapa, yeye alikuwa wa kwanza kupata hiyo CD sasa anapata shida gani kutoa ushaid bila kupanic? let him cool down ukweli utajulikana at the end, hof ni jinsi makinda anavo handle mjadala yani jamaa ameruhusiwa kuporomosha yote yaliyo moyoni mwake, akisimama wa upinzani oooh hairuhusiwi kuongelea lililopo mahakamani
 
Suala la Ugaidi (kupanga mauaji ya mtu/watu) na uvunjifu wa amani ya nchi ni kitu kibaya sana, mimi nashangaa kwa nini serikali yetu makini na jeshi la polisi makini mara tu baada ya mwigulu kusema anao mkanda wasimuite kumhoji kwanza kwa kuzingatia nafasi ya mwigulu katika jamii, na zaidi nazidi kushangaa, bado mwigulu anaendelea kusema anao ushahidi kwa nini polisi wasimalize kazi kwa kumuhoji huyu?
 
kweli mkuu sheria hairuhusu kujadili mambo yaliyopo mahakamani lakini jana kama ulimsikiliza mbowe kwenye hotuba yake alianza yeye kuongelea haya mambo yaliyoko mahakamani kwa hiyo mbowe alianza mwigulu alikuwa anajibu hotuba ya mbowe

na hawa CHADEMA hawajaanza leo kuongelea suala hilo kwenye public, SLAA, LISSU, Mbowe na wengineo wameitisha press conference kwa nyakati tofauti wakati wakijua kuwa suala hilo lipo mahakamani
 
Mwigulu nchemba mwanasiasa mdogo na mchanga kabisa hana ajenda ya kitaifa bali ajenda yake yeye akilala na kuamka ni chadema!!!!!
 
Tundu Lissu anapiga jaramba... baada ya wachangiaji wawili kupita Tundu atachangia.
 
Back
Top Bottom