Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

Huyu mwigulu mjinga na anamtindio wa ubongo. Anaongeleaje kitu kilichopo mahakamani
 
Mwigulu Nchemba amesema bungeni Dr Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi. Alisema Fedha walizolipwa vijana kufanya ugaidi ni fedha za chama, kwa hiyo uongozi mzima wa CDm ukamatwe. Amesema anashirikiana na viongozi wachache CDM wanaokerwa na mambo machafu ndani ya CDM

Hapo kwenye RED usikute ni Kina Juliana na Mwampamba!:A S 39:
 
Mwigulu akapimwe akili isije ikawa ana mtindio wa Ubongo na Makinda awe fair kuendesha kikao cha Bunge japokuwa yeye ni kada wa CCM na amewekwa na Mafisadi.

Mwigullu angekuwa na utindio wa ubongo, leo hii MBOWE asingelikimbia Bunge. alijua ni nini kitatokea ndiyo maana leo HAKUTIA MKONO BUNGENI
 
tumechoka na hizo story sasa hivi tuangalie suala la maendeleo ya nchi
 
"Pili, kwa mujibu wa Sheria ya Ugaidi, mtu yeyote anayefanya mawasiliano na gaidi au magaidi, yeye pia anahamasisha ugaidi, hivyo naye anastahili kuunganishwa katika tuhuma hizo za mashtaka ya ugaidi," alisema Mbowe.

Hakutaja huyo anayejihisi mwenyewe.

Hapo mtu anataka kulazimisha dodo lionekane andazi!!!
 
Huyu mwigulu anajitafutia mwisho mbaya kisiasa.

Hili Li Mwiguluuu Nchemba sijui Kikwete aliliokota toka wapi???? Inaelekea lilisurvive Miscarriages kibao ndiyo sababu linafikiri ushahidi tunataka akautolee mbinguni??? Ushahidi tunautaka hapa duniani ............. asubiri atakapoitwa mahakamani kwa vile kisha kubali kuwa ni shahidi number mmoja!! Ngoja siku atakapokalishwa kiti moto mahakamani na akina Lissu ndiyo atajua nini kilimtoa kanga manyoya. Limezoea kuongea kwenye jukwaa kwa mgongo wa CCM na kuamlisha police linafikiri na mahakani itakuwa hivyo??

Poor Nchemba, you are too NAIVE lad!!!


KUDADADADADEKI!!!!!
 
hatuna bunge la demokrasia bali bunge lenye itikadi ya chama kimoja
ingekuwaje kama kauli hiyo angeitoa mpinzani kusema CCM ni magaidi?
bungeni ni sehemu ya kuita watu magaidi au ni sehemu ya kutetea wananchi?
nadhani kuna haja ya mwigulu kula bakora tena nyingi tu ili ajiufunze kuongea kistaarabu
kama bunge limeshindwa wananchi tuna bakora tena za mninga atazilamba hadi ashindwe kukaa.
Mulugo si karuhusu bakora? zitumike pia kwa wabunge watukutu na viherehere.
 
Tundu Lissu ameanza kuivua serikali...
 
TL... Awamu ya JK ndio imeanza kuharibu elimu nchini...
 
Jamani huyu spika mimi simpendi basi yaani mambo yake unaweza ukashawishika hata kumwombea mabaya
 
Inabidi kuwa na uvumilivu wa hali ya juu kusikiliza michango ya baadhi ya wabunge, Mh. Nchemba ni mmoja wao. Mh. Nchemba leo amechukua nafasi ya mahakama katika suala la Mh. Rwakatale, na ametoa hukumu moja kwa moja. Kimsingi, sishangai kabisa maamuzi ya Mh. Spika; ni ubatizo gani alioupata, hivi karibuni, hata tumtarajie kutenda vinginevyo.
 
Inasikitisha sana kuona Spika anakumbatia kauli za namna hii wakati kesi ipo mahakamani. Uhuru wa mahakama upo wapi hapa? Nape na Nchemba wamekuwa wakitoa kauli za mara kwa mara kushambulia upinzani hasa CDM kuliko watu wengine CCM, najiuliza hivi hawa wawili ndo wanauchungu sana na CCM? Mbona kuna wazee walianza na CCM lakini hawana mzuka wa namna hii? Kwa siasa za makundi ndani ya CCM, mwisho wenu hautakuwa mzuri.
 
Hilo la elimu ningeshauri mafunzi ya JKT yarudishwe kwa namna tofauti; wahitimu wote wa vyuo vikuu wawe wanafanya kazi kwa kujitolea kwa mwaka mmoja na wengi wao wapelekwe mashuleni kufundisha sigachuma
 
Mwigulu anawaudhi sana chadema. To we tanzanians Mwigulu is a great man. Ameinuliwa na Mungu. Nimemsoma he means what he is talking
 
Huyu ndiyo Mchumi daraja la 1 ambaye alitakiwa awe mstari wa mbele kutoa ushauri ili kuliondoa Taifa hili na Umasikini uriokithiri lakini amehamishia akili yake kwenye mambo yasiyo na tija na Taifa hili na sishangai hali ilivyo sasa katika Taifa hili inachangiwa na Mamburura kama Mwigulu tulionao.
 
Mwambieni kama anaushaidi apeleke mahakamani anadhani ni rahisi kumkamata mbowe na dr.wilbroad slaa magogoni yenyewe inawagwaya!!!!!!!
 
mwigulu pia amewataka viongozi wa chadema waache kulaumu mtu bali wajilaumu wao kwa kukaa gizani kupanga mipango miovu ambayo sasa ipo hadharani
 
Back
Top Bottom