Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Tatizo kubwa kwa wanasiasa wengi.Ameamua kuweka siasa mbele badala ya taaluma yake kwenye kutekeleza majukumu. Kwa ufupi, kujitoa ufaham kwake sio tatizo kabisa.
View attachment 1852404
View attachment 1852405
Unawezaje kumkubali mtu kinyonga namna hii?[emoji2377]
johnthebaptistView attachment 1852404
View attachment 1852405
Unawezaje kumkubali mtu kinyonga namna hii?[emoji2377]
Mikono yake imejaa damu huyu mshamba,ana laana.Alipokuwa Wizara ya Mambo ya Ndani zilizuka taharuki. Miili kuokotwa fukweni baharini. Watu kupotea na kutoweka. Mpaka leo hajawahi kutoa majibu sahihi.
Sasa hivi amepewa mikoba Wizara ya Fedha. Kila kukicha analaumiwa, kabuni kodi za ajabu ajabu tu. Mara ukiongeza salio kodi, ukitumia mobile money kodi. Huyu jamaa hakubaliki au yeye ndio hana uwezo?
Uchawi tu,si unaona aliapishwa uwaziri wa sheria na Katiba kabla Dr. Mahiga hajazikwa,ana jopo la masangomaSijui anabebwa na nini uwezo wake ni SAwa na wa kingwangala tu