Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Alipokuwa Wizara ya Mambo ya Ndani zilizuka taharuki. Miili kuokotwa fukweni baharini. Watu kupotea na kutoweka. Mpaka leo hajawahi kutoa majibu sahihi.
Sasa hivi amepewa mikoba Wizara ya Fedha. Kila kukicha analaumiwa, kabuni kodi za ajabu ajabu tu. Mara ukiongeza salio kodi, ukitumia mobile money kodi. Huyu jamaa hakubaliki au yeye ndio hana uwezo?