Mwigulu Nchemba, hata kama Magufuli hayupo hai ulipaswa kumheshimu

Hivi una habari?
Magufuli kafa na hatarudi kumfukuza mtu kazi!
 
Amekosa hekima na amemchonganisha Mh. Rais na watu wake kwakupaka rangi hizo hear say kwasababu ya tamaa ya madaraka...Aibu kubwa sana kwake huyu jamaa!
 
Kuna watu wanaendekeza matumbo yao sana hadi kuwachafua wenzao bila kujali...Mh. Rais anachonganishwa hadharani kisa tu mtu anatafuta acknowledgements....Hata kama ni kujipendekeza tumia basi hekima!
 
Ni tatizo la kuwa na Frauds kwenye nafasi zetu za uongozi, wanaishia kujikomba tu.
Aibu sana, it means haamini katika merits bali kujipendekeza...Tatizo ni kuwa hata yule unayetaka kujipendekeza kwake atakuona so cheap kwakua anajua you cannot withstand in times of trials....
 
Màlipo halali yasiyoepukika toka kwa MUNGU ya mnafiki ni AIBU!! Tunza hii ni suala la muda tu!!
 
Reactions: Ame
Mwigulu is like a gold digger. Anamchangamkia mwenye usukani. She is always like that.
 
Whether Kikwette yuko na SSH au Rais SSH ana tumia falsafa ya JK basi Watanzania tujipige kifua mara 5, tuseme TAIFA liko kwenye mikono salama.

Kikwette aliichukua nchi kwa BWM na akaifanyia mema mengi sana na mengine ni haya ambayo Mwendazake alikuwa analazimisha kuwa ni ya kwake. Kikwette mtu wa watu, hakuhangaika kuteka na kuua WAKOSOAJI.

Whether kulikuwa na ufisadi kama inavyodaiwa lakini watu walikuwa na hela na furaha mitaani.

Long live KIKWETTE
 
Nimeona hata Magufuli kasifiwa sana..
Was it necessary? What was the motive given the fact kwa allegations zilizopo mitandaoni? Alitaka kupata nini kwa mfano?

Akumbuke kuwa jinsi anavyoendelea kusababisha drift kati ya mama na watu wa kanda fulani it has a political liability...Hekima na busara ndiyo nguzo ya kiongozi bora
 
Yaani mtu anakuwa mnafiki bila kujali kuwa kila mtu atagundua unafiki wake!! kaaa!! Huyu jamaa nadhani hana mshipa wa aibu!
 
Hii hapa, ni aibu sana na ni kiwango kikubwa sana sana cha usaliti unafiki, na uzandiki wa CCM

 
Yaani huyu jamaa sijui kwann anateuliwa yaani mganga wake ni balaa.., hope dua lako liwe kweli
 
Katika majitu ambayo yanaweza au yameua kutafuta madaraka ni hilo jinamizi... mpaka limemkana ndugu yake Lisu na kumkandia ili Jiwe alione kuwa linamtukana Lisu alipe madaraka
Usijae kushangaa 2025 ndio akawa raisi wa nchi yako
 
MATAGA jikusanyeni mje na uzi wenye hoja za kueleweka km mnaona mwigulu kakosea kumtaja jk kawajibishaneni kwenye vikao vyenu vya ndani
 
Mwigulu asisahau, anayedhani amesimama aangalie asianguke
 
Reactions: Ame
Watoto wake wanasoma breaburn unadhani ada itatoka qapi asipijikombeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…