Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
- Thread starter
- #101
Endelea kujifanya umesikiliza sana ukasau umuhimu wa tafakuri baada ya kusikia. Ulimwengu huu unaendeshwa kwa tafakuri siyo kwa kusikia. The same person for more than five years hajawahi katika ukumbi wa Bunge kumsifia JK Wala kumtamka akihusianisha utawala wake na Magu....alikaa kimya kulinda ugali wake. Leo hii anataka kuendelea kuishi kwenye nafasi hiyo badala amwone Rais aliyepo na kumpongeza au kumsifia anamfanya Rais Kama mwanafunzi akilinganisha umahiri wake na walimu waliomkuza.
Unapofanya ulinganisho kwenye ngazi au taasisi kubwa Kama ya Urais lazima uangalie damage ya ulinganisho unaofanya. Mitandao inaandika daily kuhusu habari zisizo za kuaminika kwamba JK anaongoza nchi, wewe Kama Waziri badala yakumeza mate usimshtue mwizi unaamua kukoa makusudi ili mwizi akimbizwe kwa kelele za wanakijiji. Pls tujifunze siasa tukiongeza na taalum kidogo ya econimic diplomacy.
Bajeti ya nchi haisomwi kisiasa Wala kishabiki, inasomwa kiuchumi kufungua mjadala wa kiuchumi siyo mjadala wa kisiasa na madaraka.
Mwigulu umekosea kusema ukweli wakati rangi yako toka huko nyuma watu wanaijua....ulirudishiwa Uwaziri kwa siasa hizihizi ila Sasa hivi unapaswa kujiamini kwamba unaweza ukasimama bila JK Wala mama Samia. Usipende sana kujificha kwenye kivuli Cha waliokuzidi madaraka....jitengenezee jina lako