Mwigulu Nchemba, hata kama Magufuli hayupo hai ulipaswa kumheshimu

dhambi ya ubaguzi haikuwahi kuwaacha wabaguzi salama...
Ndicho kinqchowatafuna ninyi pushgang. Yule dikteta aliwapendelea pushgang mkaona wengine siyo watu. Kafieni mbele huko na huyo dikteta wenu ambaye sasa anacharazwa viboko kuzimu.
 
Mkuu like genge la kutaka itawala nchi hii lililoanzishwa Mwaka 1995 bado lipo na sasa limegaij momentumπŸ˜†πŸ˜…
Tell them it will never happen!
 
Ndicho kinqchowatafuna ninyi pushgang. Yule dikteta aliwapendelea pushgang mkaona wengine siyo watu. Kafieni mbele huko na huyo dikteta wenu ambaye sasa anacharazwa viboko kuzimu.
Mbona bado tunaendelea kupendelewa...Wewe upo wapi? Mie bado nipo high table na kula na kunywa kama kawa...Aise, kuna watu wanapata taabu sana...Maisha hayana stress ukiyajulia...iga ufe!
 
Njia yao imejaa kiza na utelezi...Ndipo watajua hawajui...Wait and see, we are hear to stay!
Kama wamepita salama kwa mwendazake basi tena yule ndio alikua tishio kubwa Sasa watakua makini Sana na utambue hili kundi Lina kila aina ya mtu
 
Kama wamepita salama kwa mwendazake basi tena yule ndio alikua tishio kubwa Sasa watakua makini Sana na utambue hili kundi Lina kila aina ya mtu
Usijitie uwoga ni wepesi kama karatasi...Wait and see!

Tanzania ni nchi siyo NGO...Be assured kwa hilo...Usiwachukulie watanzania poa ki hivyo...Ni amini tu kama huamini atleast tunza maneno yangu haya!

Mwendazake was not God and please take that in your heart...There is God and He is alive...Ni makosa kumlinganisha Mungu na mwendazake hapo ndipo mlipobugi step...Tupo tumejaa tele kuilinda nchi yetu by hooks and crooks!
 
Nakumbuka jpm alivyokua amemtema akawa anajikomba kumsifia jpm hadi mtu unaona kinyaa hadi jpm akamrudisha uwaziri. Tz ina breed ya ajabu ya wanasiasa. Kufa jpm tu tukasikia wengine wanaomba msamaha sababu wanazijua wenyewe. Magufuli apumzike kwa amani. Naamini ndio mwanasiasa pekee kuacha nyerere ametokea nchini sio mnafiki.
 
Reactions: Ame
Unakikomba kwa JK sababu anataka kugombea urais 2035 , Sasa bila msaada wa JK hatofika mbali , JK anaongoza nchi kupitia mlango wa nyuma . Known to the republic .
 
Ni kweli kabisa!
 
Mbona bado tunaendelea kupendelewa...Wewe upo wapi? Mie bado nipo high table na kula na kunywa kama kawa...Aise, kuna watu wanapata taabu sana...Maisha hayana stress ukiyajulia...iga ufe!
Walio high table hawapotezi muda jf hapa muda huu. Wewe ni mchovu fulani tu.
 
Reactions: Ame
Ukweli mchungu Magufuli amewafundisha akina Makonda, Sabaya, chalamila, Hapi n.k jinsi ya kuongoza
 
Mawaziri na wakuu wa mikoa na wilaya woote ni wachumia tumbo tu.
 
Sorry, Mzee wa ruksa katutoka lini? Nipo Majimoto Musoma ndani ndani huku. Network shida na hakuna access ya habari muhimu za kitaifa.
πŸ˜…πŸ˜…yule mzee huwa simskii akitajwa ktk marais wastaaf. sijui ana gundu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…