Changchun yatai
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 410
- 1,050
Mheshimiwa Dr. Mwigulu sisi wafanyakazi wa Shule ya sekondari St Margaret Maria Alakok hapa Igunga mkoa wa Tabora kila tumalizapo mikataba yetu tunapaswa kulipwa gratuity ambayo ni asilimia 10% ya mshahara kwa kila mwezi kwa kipindi chote cha mkataba wako, sasa cha ajabu ni kwamba hiyo pesa kwa mfano ulistahili kulipwa Tsh 3.000.000/= Mkuu wa Shule anakata Tsh 900,000/= akisema ni kodi ya serikali sasa ni serikali gani inayonikata kodi Mara mbili?
Kila mwezi nakatwa kodi na serikali kupitia mshahara wangu sasa kwa nini mwishoni serikali hiyo hiyo inikate tena kodi ya 30% katika pesa ile ile? ambayo kila mwezi anakata?
Tunaomba Msaada wako.
Kila mwezi nakatwa kodi na serikali kupitia mshahara wangu sasa kwa nini mwishoni serikali hiyo hiyo inikate tena kodi ya 30% katika pesa ile ile? ambayo kila mwezi anakata?
Tunaomba Msaada wako.