kisanganyakiswata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2014
- 1,299
- 552
Chadema haina tofauti janjawiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli mwigulu nchemba ameongea kweli hawa chadema wanataka tuwe kama wasomalia kila siku vita,tunashukuru watanzania wanaelewa umuhimu wa aman yetu na hawapo tayari kuiingiza nchi kwenye dimbwi la damu.Tunatamani upinzani ila sio chagadema.
Hawa jamaa wanaotembezwa na ulemavu wao namna hiyo sijui hata wanajisikiaje mioyoni mwao! Unawezaje kumruhusu mwanasiasa kutumia ulemavu wa kiwango hicho kama mtaji wake kisiasa wakati huo huo ukiwa unaonyeshwa kama picha mbele za watu? Au kwa wenzetu hawa kwao hii ni ajira kwa maana kwamba wanajiingizia kipato kwa kuonyeshwa hadharani namna hiyo?
Mungu atawapiga kofi na wananchi wanaendelea kuwakataa kwenye sanduku la kura, ona juzi kati apa, 23 kwa 3mkuu kwanini hawachukuliwi hatua kama ni wao wamefanya unyama huo?
![]()
![]()
![]()
Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa kata ya Ifakara wakati wa Mkutano wa Kufungua Kampeni uliofanyika Jana Tar.27/02/2014.Hapa akiwa na Wahanga wa siasa chafu zinazodaiwa Kufanywa na Chadema kupitia Vijana wake wa Redbrigade.Mwenye T-shirt ya Njano ni Mzee Alphonce John ambaye alitopolewa Macho kwa dispisi wakati wa Uchaguzi wa Udiwani huko Kahama Mwezi uliopita.
Mwigine mwenye Shati la Kijana ni Kijana Musa Tesha ambaye alimwagiwa Tindikali na Vijana wanaodaiwa Kuwa wa Chadema huko Igunga wakati wa Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo.Mh:Mwigulu Nchemba jana amesisitiza Wananchi wa Kalenga kuwa makini na siasa Chafu za Chadema zinazofanywa sehemu mbalimbali hasa kwenye nyakati kama hizi za Uchaguzi.Amesisitiza kuwa kwenye Chaguzi zozote Vyama vya siasa vinashindanisha Sera na hoja kuhusu Maendeleo ya Wananchi wa eleo hilo,Mkataba wa CCM na Wananchi ni Maendeleo katika Taifa hili,Umoja na Mshikamano ndio ngao ya MwanaCCM yeyote.
Mwigulu Nchemba amesema dhambi ya Mauaji na Unyama unaoendelea kwenye mikutano ya siasa na maeneo mbalimbali haitamwacha Dr.slaa Salama kutokana na yeye kuwa kiongozi anayebariki Siasa chafu hizo.
Chanzo:Kalenga
Chadema ni sawa na Alshabaab tu.
Viongozi wao wanatumia maisha ya watu kama mtaji wa siasa