Njilembera
JF-Expert Member
- May 10, 2008
- 1,496
- 609
Chadema ni sawa na Alshabaab tu.
Viongozi wao wanatumia maisha ya watu kama mtaji wa siasa
Umeshaugua tena! mbona ulishapona!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema ni sawa na Alshabaab tu.
Viongozi wao wanatumia maisha ya watu kama mtaji wa siasa
CHADEMA na Dr.Slaa familia za hawa watu zinateseka kwa ajili ya uroho wenu wa madaraka! Kuna siku mtalipa haya yote mnayoyafanya kwa ajili ya uroho wa madaraka!
Hayo yote yalifanywa na wanachadema nini ambacho hujui hata wewe ulikuwa na kazi yako ya kummaliza dogo imekushinda mchana kweupe.Kuna familia za Masoud Mbwana, Familia Za Msafiri Mbwambo wa USA RIver aliyechinjwa na kiongozi wa CCM,Familia za Wale ndugu zetu waliouawa kwa Bomu Arusha baada ya Mwigulu kutoa tahadhari ya hasira kwa watu ikiwa wataenda kwenye mikutano ya CHADEMA
Chadema ni chama cha wanyama na wauaji hakipaswi kuwepo hapa tanzania.
Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa kata ya Ifakara wakati wa Mkutano wa Kufungua Kampeni uliofanyika Jana Tar.27/02/2014.Hapa akiwa na Wahanga wa siasa chafu zinazodaiwa Kufanywa na Chadema kupitia Vijana wake wa Redbrigade.Mwenye T-shirt ya Njano ni Mzee Alphonce John ambaye alitopolewa Macho kwa dispisi wakati wa Uchaguzi wa Udiwani huko Kahama Mwezi uliopita.
Mwigine mwenye Shati la Kijana ni Kijana Musa Tesha ambaye alimwagiwa Tindikali na Vijana wanaodaiwa Kuwa wa Chadema huko Igunga wakati wa Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo.Mh:Mwigulu Nchemba jana amesisitiza Wananchi wa Kalenga kuwa makini na siasa Chafu za Chadema zinazofanywa sehemu mbalimbali hasa kwenye nyakati kama hizi za Uchaguzi.Amesisitiza kuwa kwenye Chaguzi zozote Vyama vya siasa vinashindanisha Sera na hoja kuhusu Maendeleo ya Wananchi wa eleo hilo,Mkataba wa CCM na Wananchi ni Maendeleo katika Taifa hili,Umoja na Mshikamano ndio ngao ya MwanaCCM yeyote.
Mwigulu Nchemba amesema dhambi ya Mauaji na Unyama unaoendelea kwenye mikutano ya siasa na maeneo mbalimbali haitamwacha Dr.slaa Salama kutokana na yeye kuwa kiongozi anayebariki Siasa chafu hizo.
Chanzo:Kalenga
Hapa vyama vya walemavu na watetezi wa haki za binadamu inabidi wakemee tabia hii,ya kuwafanya binadamu wenzio samples za kuombea kura kwa ajili ya matumbo ya wachache.Kitendo hiki anachokifanya naibu waziri wa fedha hakikubaliki hata kidogo.![]()
![]()
![]()
Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa kata ya Ifakara wakati wa Mkutano wa Kufungua Kampeni uliofanyika Jana Tar.27/02/2014.Hapa akiwa na Wahanga wa siasa chafu zinazodaiwa Kufanywa na Chadema kupitia Vijana wake wa Redbrigade.Mwenye T-shirt ya Njano ni Mzee Alphonce John ambaye alitopolewa Macho kwa dispisi wakati wa Uchaguzi wa Udiwani huko Kahama Mwezi uliopita.
Mwigine mwenye Shati la Kijana ni Kijana Musa Tesha ambaye alimwagiwa Tindikali na Vijana wanaodaiwa Kuwa wa Chadema huko Igunga wakati wa Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo.Mh:Mwigulu Nchemba jana amesisitiza Wananchi wa Kalenga kuwa makini na siasa Chafu za Chadema zinazofanywa sehemu mbalimbali hasa kwenye nyakati kama hizi za Uchaguzi.Amesisitiza kuwa kwenye Chaguzi zozote Vyama vya siasa vinashindanisha Sera na hoja kuhusu Maendeleo ya Wananchi wa eleo hilo,Mkataba wa CCM na Wananchi ni Maendeleo katika Taifa hili,Umoja na Mshikamano ndio ngao ya MwanaCCM yeyote.
Mwigulu Nchemba amesema dhambi ya Mauaji na Unyama unaoendelea kwenye mikutano ya siasa na maeneo mbalimbali haitamwacha Dr.slaa Salama kutokana na yeye kuwa kiongozi anayebariki Siasa chafu hizo.
Chanzo:Kalenga
Michango yenu inaonyesha ni jinsi gani mnafurahia binadamu wenzenu kuwa vilema au kufa huo ndio ushindi wenu bila shaka kwa taharifa yenu hamtapata madaraka nchi hii kwa style hiyo shame cdm.
Chadema ni sawa na Alshabaab tu.
Viongozi wao wanatumia maisha ya watu kama mtaji wa siasa
Inaelekea wewe ni zile design ............ kama Migulu akisema umpe .. u.....pa!!CHADEMA na Dr.Slaa familia za hawa watu zinateseka kwa ajili ya uroho wenu wa madaraka! Kuna siku mtalipa haya yote mnayoyafanya kwa ajili ya uroho wa madaraka!