rushanju
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 3,238
- 5,106
Picha ya zomea zomea ikoje hiyoWeka picha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha ya zomea zomea ikoje hiyoWeka picha!
![]()
![]()
![]()
Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa kata ya Ifakara wakati wa Mkutano wa Kufungua Kampeni uliofanyika Jana Tar.27/02/2014.Hapa akiwa na Wahanga wa siasa chafu zinazodaiwa Kufanywa na Chadema kupitia Vijana wake wa Redbrigade.Mwenye T-shirt ya Njano ni Mzee Alphonce John ambaye alitopolewa Macho kwa dispisi wakati wa Uchaguzi wa Udiwani huko Kahama Mwezi uliopita.
Mwigine mwenye Shati la Kijana ni Kijana Musa Tesha ambaye alimwagiwa Tindikali na Vijana wanaodaiwa Kuwa wa Chadema huko Igunga wakati wa Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo.Mh:Mwigulu Nchemba jana amesisitiza Wananchi wa Kalenga kuwa makini na siasa Chafu za Chadema zinazofanywa sehemu mbalimbali hasa kwenye nyakati kama hizi za Uchaguzi.Amesisitiza kuwa kwenye Chaguzi zozote Vyama vya siasa vinashindanisha Sera na hoja kuhusu Maendeleo ya Wananchi wa eleo hilo,Mkataba wa CCM na Wananchi ni Maendeleo katika Taifa hili,Umoja na Mshikamano ndio ngao ya MwanaCCM yeyote.
Mwigulu Nchemba amesema dhambi ya Mauaji na Unyama unaoendelea kwenye mikutano ya siasa na maeneo mbalimbali haitamwacha Dr.slaa Salama kutokana na yeye kuwa kiongozi anayebariki Siasa chafu hizo.
Chanzo:Kalenga
Na serikali ya ccm ni waleaji wakubwa wa hao wauwaji.... Tuna jeshi,polisi,mahakama...inakuaje wauwaji wakubwa kama chadema hawakamatwi? Udhaifu wa serikali au ni mashtaka ya kutunga !!!! Something is wrong somewhere....
Mwigulu nchemba akumbwa na zomea zomea mbaya kalenga,tukiwa katika kijiji cha kidamali kata ya nzihi kwenye mazishi ya wanachama wetu wa chadema wawili walio kufa kwa ajari ya lori jana mwigulu amekutwa na kasumba hii ya zomea zomea ya wananchi baada ya kuanza kumnadi mgombea wa ccm mtoto wa mgimwamy take: wana kalenga wamekataa utawala wa kifalme poleni sana wafiwa;
chanzao chadema kalenga
Nina taarifa ya kuwa umeenda Kalenga kuzindua kampeni.
Umeongea mengi lakini moja limenishtua zaidi,Eti unawaambia wanakalenga wewe ni naibu waziri wa fedha na umewaamuru wanakalenga waorodheshe matatizo yao ili yatatuliwe haraka iwezekanavyo.
Swali langu ni moja tu...hivi ccm haitambui matatizo ya wanakalenga?kwa miaka zaidi ya hamsini...?kwa kipindi chote alichoongoza marehemu Mgimwa?Ina maana Mgimwa Jr hajui anagombea jimbo hili kwa sababu zipi?