Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,540
The so called the chaga development manifesto is a disgrace to our country...
You're a hundred times a DISGRACE...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The so called the chaga development manifesto is a disgrace to our country...
Foolishness is more than being stupid, that deadly combination of arrogance and ignorance. (Paul David Tripp)CHADEMA na Dr.Slaa familia za hawa watu zinateseka kwa ajili ya uroho wenu wa madaraka! Kuna siku mtalipa haya yote mnayoyafanya kwa ajili ya uroho wa madaraka!
Chadema ni wauwaji wakubwa
na yale ya ulimboka kibanda na mwangosi yana baraka yana baraka za nani
Yaweza kuwa kweli, lakini kufanya haya anayoyafanya kwa kesi iliyo mahakamani ni kuiaribu kesi yenyewe.mh. Mwigulu, misomi, analijua hili na pia hata kama hajui, kuna wanasheria ndani ya chama na Serikali wanalijua hili. Kwa nini hawazuii kitendo hichi, hapa ndiyo inanishangaza. Binafsi naona kama udhalilishaji na uvunjaji wa haki za binadamu kwa hao wahanga wanaotembezwa.Kuna watu wanapost humu kuwa Mwigulu ni muongo, eti kwanini wahusika hawajacgukuliwa hatua, kumbe kuna kesi mahakamani? Hebu tuambieni watuhumiwa ni akina nani?
![]()
![]()
![]()
Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa kata ya Ifakara wakati wa Mkutano wa Kufungua Kampeni uliofanyika Jana Tar.27/02/2014.Hapa akiwa na Wahanga wa siasa chafu zinazodaiwa Kufanywa na Chadema kupitia Vijana wake wa Redbrigade.Mwenye T-shirt ya Njano ni Mzee Alphonce John ambaye alitopolewa Macho kwa dispisi wakati wa Uchaguzi wa Udiwani huko Kahama Mwezi uliopita.
Mwigine mwenye Shati la Kijana ni Kijana Musa Tesha ambaye alimwagiwa Tindikali na Vijana wanaodaiwa Kuwa wa Chadema huko Igunga wakati wa Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo.Mh:Mwigulu Nchemba jana amesisitiza Wananchi wa Kalenga kuwa makini na siasa Chafu za Chadema zinazofanywa sehemu mbalimbali hasa kwenye nyakati kama hizi za Uchaguzi.Amesisitiza kuwa kwenye Chaguzi zozote Vyama vya siasa vinashindanisha Sera na hoja kuhusu Maendeleo ya Wananchi wa eleo hilo,Mkataba wa CCM na Wananchi ni Maendeleo katika Taifa hili,Umoja na Mshikamano ndio ngao ya MwanaCCM yeyote.
Mwigulu Nchemba amesema dhambi ya Mauaji na Unyama unaoendelea kwenye mikutano ya siasa na maeneo mbalimbali haitamwacha Dr.slaa Salama kutokana na yeye kuwa kiongozi anayebarik
huu ni uhuni mtuupu Nchemba tunakuamini pambana
kweli chooni ah samahani; msalan umeandika hii kutoka moyoni' leo cdm wauaji? Kweli? Ccm ni kina nani kama cdm ni wauaji?chadema na dr.slaa familia za hawa watu zinateseka kwa ajili ya uroho wenu wa madaraka! Kuna siku mtalipa haya yote mnayoyafanya kwa ajili ya uroho wa madaraka!