Elections 2015 Mwigulu Nchemba: Huu Unyama Una baraka zote za Dr. Slaa na genge lake


Hizo ndizo ahadi za CCM kwa wana Kalenga? Au sijui siasa vizur. Ngoja nirudi darasani
 
Sasa mtunze familia zao,sio kuwatelekeza kama vijana wengine.
 
Na serikali ya ccm ni waleaji wakubwa wa hao wauwaji.... Tuna jeshi,polisi,mahakama...inakuaje wauwaji wakubwa kama chadema hawakamatwi? Udhaifu wa serikali au ni mashtaka ya kutunga !!!! Something is wrong somewhere....

Mwambieni Mwingulu jamani, si atosheke na huo ulaji wa kishkaji aliopewa na JK? Mpaka aende kuwatoboa watu macho awalipe ili tu kuonesha Watz kuwa kuna maovu yanayotendwa Tz? Hajui kuwa sisi leo tunajua kwamba hakuna mtu yeyote aliye juu ya sheria? Mbona wasimkamate huyo mtesi wa watu?? Yes, I say; Something is wrong somewhere! Haiwezekani, labda kama huyo mbwa mwizi ni mbwa kipenzi wa boss na kuku wanaoliwa ni wa mtoto wa boss. Utathubutu kumpiga mbwa wa boss?
Mwingulu, tafuta albam nyingine. Hii aaah imebuma. Poleni midoli ya Mwingulu, njaa zenu zimewauza mpaka mkaamua kuwa kilema wa maisha ili upate pesa. Kama huyu wa sasa, kitambi ka pipa lakini kumbe, anaamua apoteze jicho ili ale vizuri.
Pole sana.
 
Safi sana.nataman na min ningekuwepo.siwapendi haya majizi kama nin.yanajifanya mazalendo kwa kuvaa skafu shingoni kumbe mashtan tu
 
Nina taarifa ya kuwa umeenda Kalenga kuzindua kampeni.
Umeongea mengi lakini moja limenishtua zaidi,Eti unawaambia wanakalenga wewe ni naibu waziri wa fedha na umewaamuru wanakalenga waorodheshe matatizo yao ili yatatuliwe haraka iwezekanavyo.

Swali langu ni moja tu...hivi ccm haitambui matatizo ya wanakalenga?kwa miaka zaidi ya hamsini...?kwa kipindi chote alichoongoza marehemu Mgimwa?Ina maana Mgimwa Jr hajui anagombea jimbo hili kwa sababu zipi?
 
picha ikibidi video....hongereni wana kalenga....
 
Mgimwa alikuwa waziri wa fedha akashindwa kuwasaidia, iweje naibu?
 
Vipi cdm hawapeleki majeneza huko kalenga safari hii?
Maana kila uonapo jeneza inabidi ulize mkutano wa cdm uko wapi
 
Mimi ni mhehe, na nimetokea Kalenga

Sisi watu wa Kalenga hatuna tabia ya kuzomea, kama hatukutaki tunakuambia usoni bila kuficha

CCM Itashinda kwa kishindo kalenga, na kama ikiwa tofauti mimi nitarudi Kalenga kwa miguu kutoka huku
 
BREAKING NEWS:
MWIGULU NCHEMBA AKUMBWA NA ZOMEA ZOMEA MBAYA KALENGA,
tukiwa katika kijiji cha kidamali kata ya nzihi kwenye mazishi ya wanachama wetu wa chadema wawili walio kufa kwa ajari ya lori jana Mwigulu amekutwa na kasumba hii ya zomea zomea ya wananchi baada ya kuanza kumnadi mgombea wa ccm mtoto wa Mgimwa
my take: wana Kalenga wamekataa utawala wa kifalme poleni sana wafiwa
 

akili za viroba izo. Unawaza kwa kutumia mwakajambile, una tofauti na wauza mgongo lem,
 

kwani mgimwasi alikuwa waziri kamili wa fedha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…