PostGE2025 Mwigulu Nchemba kawekwa kati na wahariri wa habari

PostGE2025 Mwigulu Nchemba kawekwa kati na wahariri wa habari

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Leo ni leo

Mwigulu kawekwa kati, maswali ni magumu, majibu anayotoa mepesi sana
Ukweli ni kama mbegu; ukiizika kwa hila, itamea kwa kishindo.

Ukweli haupotei; hupotezwa tu kwa muda.

Ukweli ni moto wa chini kwa chini; unaweza kuuziba kwa mawe, lakini utalipuka tu wakati wake ukifika.
 
Waandishi wametema nyongo aisee, hawakuogopa kuuliza hard questions zinazo trend. Waziri anajibu so simply, ni siasa kwa kwenda mbele
Mpaka umekubali basi kweli mnyampaa alikuwa kawekwa mtu kati.kabebeshwa zigo la misumari.
 
Back
Top Bottom