Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Ndio mafaili tu yameingiliana usihoji sana mkuu.Huyu ni mtu mmoja?
Ndio mafaili tu yameingiliana usihoji sana mkuu.Huyu ni mtu mmoja?
Kasahau kubadili account .😁😁Huyu ni mtu mmoja?
cha ajabu nini mpaka uulize swali hili?Huyu ni mtu mmoja?
Uwe unakumbuka kubadili ID kutoka ya uchawa kwenda ya uzalendocha ajabu nini mpaka uulize swali hili?
kajibu softlly, hakuwa na jazbaMpaka umekubali basi kweli mnyampaa alikuwa kawekwa mtu kati.kabebeshwa zigo la misumari.
Leo ni leo
Mwigulu kawekwa kati, maswali ni magumu, majibu anayotoa mepesi sana
View: https://www.youtube.com/live/jKByXFRcJSo?si=FLTCutk2j9D9tsz0
Shangaa na weweHuyu ni mtu mmoja?
Mshaingizwa Cha kike. Hapo wanajustify Malalamiko kwamba waandishi wa kibongo wanabinywa na selekaleKiufupi anamaliza karatasi, leo wahariri hatuwadai wamefunguka yote.
Kongole kwa wahariri
Mkuu kama msigwa alienda kulike kwenye account ya mange hapa unashangaa nini?Uwe unakumbuka kubadili ID kutoka ya uchawa kwenda ya uzalendo
Ndio maana nimeuliza huyu Mwingulu anafanya press gani mboni simuelewi, juzi sikumuelewa Gerson Msigwa leo tena yeye anakuja anarudia yaleyale sasa aliita press ya nini?Hajajibu swali hata moja
Tena kengemaji
Naweza kupasua tv yangu ya thamani kubwa sababu ya kenge mmoja,,
Uwe unakumbuka kubadili ID kutoka ya uchawa kwenda ya uzalendo