Kiufupi anamaliza karatasi, leo wahariri hatuwadai wamefunguka yote.Leo ni leo
Mwiguli kaekwa kati, maswali ni magumu, majibu anayotoa mepesi sana
Hajajibu swali hata mojaKiufupi anamaliza karatasi, leo wahariri hatuwadai wamefunguka yote.
Kongole kwa wahariri
Wahariri wa vyombo vya habari nchini.Anahojiwa na wakina nani???nani wanamuliza maswali 😄
Ova
Wahariri wa habariAnahojiwa na wakina nani???nani wanamuliza maswali 😄
Ova
Swali gani kajibu .?Kawekwa kati lakini amepangua maswali yote ya waandishi
SCRIPTKawekwa kati lakini amepangua maswali yote ya waandishi
Wekeni basi hayo maswali hapa.Kiufupi anamaliza karatasi, leo wahariri hatuwadai wamefunguka yote.
Kongole kwa wahariri
Kama Una muda Ipo live YouTube unaweza kufuatiliaWekeni basi hayo maswali hapa.
Ukweli ni kama mbegu; ukiizika kwa hila, itamea kwa kishindo.Leo ni leo
Mwigulu kawekwa kati, maswali ni magumu, majibu anayotoa mepesi sana
Naweza kupasua tv yangu ya thamani kubwa sababu ya kenge mmoja,,Kama Una muda Ipo live YouTube unaweza kufuatilia
Ni kichekesho sanaKama Una muda Ipo live YouTube unaweza kufuatilia
Kwenye mambo magumu Anatoa majibu mepesi....
Naweza kupasua tv yangu ya thamani kubwa sababu ya kenge mmoja,,
Kawekwa kati lakini amepangua maswali yote ya waandishi
Huyu ni mtu mmoja?Waandishi wametema nyongo aisee, hawakuogopa kuuliza hard questions zinazo trend. Waziri anajibu so simply, ni siasa kwa kwenda mbele
Mpaka umekubali basi kweli mnyampaa alikuwa kawekwa mtu kati.kabebeshwa zigo la misumari.Waandishi wametema nyongo aisee, hawakuogopa kuuliza hard questions zinazo trend. Waziri anajibu so simply, ni siasa kwa kwenda mbele