Tetesi: Mwigulu Nchemba kung'olewa uwaziri

Status
Not open for further replies.

CWR2016

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
2,773
Reaction score
6,349
Habari wana JF.
Habari ndio hiyo.
Uchunguzi dhidi ya mauaji ya mwanafunzi wa chuo cha NIT ukikamilika taarifa za ndani zinasema huyu atatumbuliwa.

Ingawa mi naona tuna tatizo kubwa zaidi ya hapo.
Japo kuwajibishwa kwa Waziri ni njia mojawapo ya kuonesha kujali.

Kuwa wa kwanza kufahamu mwana JF.
 
Waanze na sizonje na bashite
 
Nani kakuambia kuna uchunguzi ww
Hivi wabongo hamjifunzi hata kwa matukio yaliyopita
 
Never, never, never haya yote yanatoka huko wasikojaribiwa. Never, never, never. Labda if the opposite of the whole scenario would have happened instead, then your proposition would have been possible!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom