Mwigulu Nchemba kwenye hotuba zako punguza kufokafoka

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
5,503
Reaction score
15,858
Jana nimekuona ulihutubia wananchi huko Singida badala ya kusema maneno ya maana na kuhutubia umoja, mshikamano na haki wewe ukaanza kutoa mapovu. Mara ooo mimi sina biashara, mara hoooo mama yangu Muislamu na blablaa kibao. Mwigulu Nchemba huko watanzania washatoka na huo utapeli wa kutufokea uache mara moja.

Unasema huna biashara yoyote ila unasomesha watanzania zaidi ya 600 sasa tuambie unatoa wapi pesa za kuwagharamia watu hao? Una NGOs regesterd ambayo inasaport hiyo shughuli zako? Singida black 🌟 una ushirika gani nao? Acha hizo mzee!
 
Screenshot_20251122-113049_Instagram.jpg
 
Mwache aendelee kutoka anafikri Gen-Z wanapenda hayo? Wataruka naye muda si mrefu!
 
Huyo jamaa ndo alivyo. Namfahamu tangu miaka ya secondary akiwa HP ni mwendo wa vitisho tu.
Nahisi hata ile kauli mbiu ya "hakutakuwa na nywinywi" yule kikongwe alidesa kwa madelu.
 
Jana nimekuona ulihutubia wananchi huko Singida badala ya kusema maneno ya maana na kuhutubia umoja, mshikamano na haki wewe ukaanza kutoa mapovu. Mara ooo mimi sina biashara, mara hoooo mama yangu Muislamu na blablaa kibao. Mwigulu Nchemba huko watanzania washatoka na huo utapeli wa kutufokea uache mara moja.

Unasema huna biashara yoyote ila unasomesha watanzania zaidi ya 600 sasa tuambie unatoa wapi pesa za kuwagharamia watu hao? Una NGOs regesterd ambayo inasaport hiyo shughuli zako? Singida black 🌟 una ushirika gani nao? Acha hizo mzee!
Hivi alikuwa anafoka kama nani
 
Unarajia kwa mtu mpenda sifa?

Mkewe haitwi Esther, anaitwa Neema na ndio mmiliki wa mabasi ya Esther yaliyopewa jina la mwanae.

Anatuona wote mandezi, pumbavu.
 
Katika watu wanaogopa mabadiliko ma uchaguzi wa haki ni Mwigulu. Anajua fika ataliwa hela na atashindwa. Huyu ana siasa za kikatili mno, na kwakuwa vyombo vyetu vya dola vinatii hata maagizo ya uovu dhidi ya wananchi, hiyo ndio kinga yake ya kubaki madarakani.
 
Kuna mwanangu husema yeye hawezi kufatilia wala kuwasikiliza wanasiasa maana huwa wanaongea kama wanaongea na watoto au mbuzi ambao hawaelewi chochote.

Ni dharau, aibu na kukosa utu kumfanganya mtu mzima waziwazi.

Hata huo mshahara wa ubunge + uwaziri huwezi somesha watoto 600.
 
Back
Top Bottom