Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 8,227
- 14,195
Huyo ni mshamba kwenye kila angleJana nimekuona ulihutubia wananchi huko Singida badala ya kusema maneno ya maana na kuhutubia umoja, mshikamano na haki wewe ukaanza kutoa mapovu. Mara ooo mimi sina biashara, mara hoooo mama yangu Muislamu na blablaa kibao. Mwigulu Nchemba huko watanzania washatoka na huo utapeli wa kutufokea uache mara moja.
Unasema huna biashara yoyote ila unasomesha watanzania zaidi ya 600 sasa tuambie unatoa wapi pesa za kuwagharamia watu hao? Una NGOs regesterd ambayo inasaport hiyo shughuli zako? Singida black 🌟 una ushirika gani nao? Acha hizo mzee!
Mlevi wa madaraka
Bado kitambo kidogo atajua hajui