Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Welcome to post truth world.
Tayariiiii kashajiweka kitanzi mwenyewee.
Ameanza in back footTayariiiii kashajiweka kitanzi mwenyewee.
Au alijisahau ile jana. 😂😂😂😂😂
Mwache aendelee kutoka anafikri Gen-Z wanapenda hayo? Wataruka naye muda si mrefu!Jana nimekuona ulihutubia wananchi huko Singida badala ya kusema maneno ya maana na kuhutubia umoja, mshikamano na haki wewe ukaanza kutoa mapovu. Mara ooo mimi sina biashara, mara hoooo mama yangu Muislamu na blablaa kibao. Mwigulu Nchemba huko watanzania washatoka na huo utapeli wa kutufokea uache mara moja.
Unasema huna biashara yoyote ila unasomesha watanzania zaidi ya 600 sasa tuambie unatoa wapi pesa za kuwagharamia watu hao? Una NGOs regesterd ambayo inasaport hiyo shughuli zako? Singida black 🌟 una ushirika gani nao? Acha hizo mzee!
Mara nyingi waongo ni wasahaulifuTayariiiii kashajiweka kitanzi mwenyewee.
Au alijisahau ile jana. 😂😂😂😂😂
Hivi alikuwa anafoka kama naniJana nimekuona ulihutubia wananchi huko Singida badala ya kusema maneno ya maana na kuhutubia umoja, mshikamano na haki wewe ukaanza kutoa mapovu. Mara ooo mimi sina biashara, mara hoooo mama yangu Muislamu na blablaa kibao. Mwigulu Nchemba huko watanzania washatoka na huo utapeli wa kutufokea uache mara moja.
Unasema huna biashara yoyote ila unasomesha watanzania zaidi ya 600 sasa tuambie unatoa wapi pesa za kuwagharamia watu hao? Una NGOs regesterd ambayo inasaport hiyo shughuli zako? Singida black 🌟 una ushirika gani nao? Acha hizo mzee!
Mwananzengo tu chiefHivi alikuwa anafoka kama nani
Duuh! Safi sana mkuu. Asante kwa nyaraka hii inayothibitisha kuwa waziri mkuu ni muongo na mzandiki.