Mwigulu Nchemba kwenye hotuba zako punguza kufokafoka

Huyo ni mshamba kwenye kila angle
Mlevi wa madaraka
Bado kitambo kidogo atajua hajui
 
Alipokuja Mkuu wa genge la Green Guard alitaka kumfunga maisha Mkuu wa Usalama wa Chadema wakati ule Lwakatare kwa kumzushia tuhuma za ugaidi .

Aliwahi kumzushia Mnyika kesi bungeni eti Amenasa mawasialiano CDM wanataka kumuua akaja na sauti na mawasialiano feki,Mabere Marando akamuumbua na kifaa kinachoitwa telephone spoofing.kesi ikaisha.

Pia aliwalipua CDM na bomu Arusha akadai ni CDM wamejilipua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…