Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Wazo zuri sana hili. Ukikamatwa na askari badala ya kumuhonga elfu 5 Mpaka 10 ni bora utoe elfu 10 akuchanie mkeka serikali ifaidi badala ya hawa maafande wapenda rushwa.
mhhhSasa hivi watakua wanachukua rushwa ya buku
Sawa mkuuInapendeza...
FactsUzito wa kosa...mfano bajaj kapita taa nyekundu na mimi na Vitz nimepita taa nyekundu, kosa si lile lile? Inakuwaje huyu alipe 10,000 na yule 30,000?! Bodaboda na bajaj pamoja na faini 30,000 ndio wavunja sheria wakuu sasa kuwapunguzia hadi 10,000 si ndio watatumaliza?!!
Adhabu si lazima iwe pesa, awareness ya sheria za usalama barabarani inaweza kusaidia katika kupunguza ajali za hapa na pale. 92% ya wamiliki wa bodaboda na bajaj ni low income earners.Facts
Umewahi kusikia trafik amefikishwa mahakaman kwa tuhuma za kupokea rushwa barabarana!?Kwanini mkuu?
Ubovu wa gari ni kosa moja mambk ya kuchanganua ubovu wa gari kuwa makosa mengi haipo kwenye makosa ila wanatumia mwanya tuu kuwaumiza wananchi ili malengo yao yafike enzi zile za malengo...Kuna police traffic mmoja aliwahi kunipiga fine 60,000/= eti nina makosa mawili. Hivi kwa hizi gari seconda hand za Japan, unaweza usiwe na kosa? Magari yenyewe mabovu yanaweza kuwa na makosa hata 20, lakini busara lazima itumike na alipaswa kuandika kosa moja tu 30,000/= baaas.
Dau litapungua unatoa 3000TAKUKURU wanajitahidi sana katika kuzuia na kupambana na rushwa
Bei ya vitz na bei ya Bajaj ni sawa?Uzito wa kosa...mfano bajaj kapita taa nyekundu na mimi na Vitz nimepita taa nyekundu, kosa si lile lile? Inakuwaje huyu alipe 10,000 na yule 30,000?! Bodaboda na bajaj pamoja na faini 30,000 ndio wavunja sheria wakuu sasa kuwapunguzia hadi 10,000 si ndio watatumaliza?!!
Hahahahaaa swali zuri sana hili mkuu. Eti dereva wa Benz na Bajaj wote wapigwe fine sawa.Bei ya vitz na bei ya Bajaj ni sawa?
Rais Samia amefungua balozi mpya katika nchi 8 ikiwemo Israel, Mungu ambariki sana!Chadema walilamikia ufisadi ila Samia ameondoa ufisadi na matokeo yake majizi na mafisadi yamekimbilia kujificha Chadema.