Mwigulu Nchemba: "Napendekeza kupunguza adhabu kwa makosa ya pikipiki na bajaji lengo ni kuweka adhabu kwa kuzingatia uwezo wa kulipa"

Mwigulu Nchemba: "Napendekeza kupunguza adhabu kwa makosa ya pikipiki na bajaji lengo ni kuweka adhabu kwa kuzingatia uwezo wa kulipa"

Uzito wa kosa...mfano bajaj kapita taa nyekundu na mimi na Vitz nimepita taa nyekundu, kosa si lile lile? Inakuwaje huyu alipe 10,000 na yule 30,000?! Bodaboda na bajaj pamoja na faini 30,000 ndio wavunja sheria wakuu sasa kuwapunguzia hadi 10,000 si ndio watatumaliza?!!
Facts
 
Adhabu si lazima iwe pesa, awareness ya sheria za usalama barabarani inaweza kusaidia katika kupunguza ajali za hapa na pale. 92% ya wamiliki wa bodaboda na bajaj ni low income earners.
 
Kuna police traffic mmoja aliwahi kunipiga fine 60,000/= eti nina makosa mawili. Hivi kwa hizi gari seconda hand za Japan, unaweza usiwe na kosa? Magari yenyewe mabovu yanaweza kuwa na makosa hata 20, lakini busara lazima itumike na alipaswa kuandika kosa moja tu 30,000/= baaas.
Ubovu wa gari ni kosa moja mambk ya kuchanganua ubovu wa gari kuwa makosa mengi haipo kwenye makosa ila wanatumia mwanya tuu kuwaumiza wananchi ili malengo yao yafike enzi zile za malengo...
 
Uzito wa kosa...mfano bajaj kapita taa nyekundu na mimi na Vitz nimepita taa nyekundu, kosa si lile lile? Inakuwaje huyu alipe 10,000 na yule 30,000?! Bodaboda na bajaj pamoja na faini 30,000 ndio wavunja sheria wakuu sasa kuwapunguzia hadi 10,000 si ndio watatumaliza?!!
Bei ya vitz na bei ya Bajaj ni sawa?
 
Chadema walilamikia ufisadi ila Samia ameondoa ufisadi na matokeo yake majizi na mafisadi yamekimbilia kujificha Chadema.
 
Mimi siungi mkono kupunguza fine ilifaa ipandishwe hakuna watu wanavurugu barabarani kama hawa Boda Boda ni washenzi sana . Boda Boda alinivunjia taa ya gari yangu kisha akakimbia tena kwny Trafick light .
 
Back
Top Bottom