Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Sasa hivi watakua wanachukua rushwa ya buku
Wazo zuri sana hili. Ukikamatwa na askari badala ya kumuhonga elfu 5 Mpaka 10 ni bora utoe elfu 10 akuchanie mkeka serikali ifaidi badala ya hawa maafande wapenda rushwa.