Bubu Msemaovyo
Platinum Member
- May 9, 2007
- 4,189
- 3,552
anza na mbowe alituma watu wamdhuru kibanda baada ya kuacha kazi tanzania daima
we ulietumwa kumteka na kumtesa ulimboka mbona hujasema aliekutuma.
Aliyeiweka video ni yule ambaye Anataka kupotosha ushahidi wa kuteswa kwa kibanda kw kila hali
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mpaka utakapojiuliza kwanini Ludo kakamatwa ndo utakapojiona hauna jipyaKupenda kubaya sana hivi kuna uhusiano gani kati ugaidi wa Lwakatare na Kuteswa kwa Kibanda na Nchemba?
Kupenda kubaya sana hivi kuna uhusiano gani kati ugaidi wa Lwakatare na Kuteswa kwa Kibanda na Nchemba? Katika ile video sijasikia kabisa Kibanda akitajwa aliyetajwa ni Msaki, Zitto, Marehemu wa morogoro na jamaa alimwagiwa tindikali wa Igunga.
Labda niwaulize wana CDM ..
1: Kupokea au kuununua video yenye maudhui ya kijinai ni kosa?
2: Au walionekana wa kifanya kosa? najua majibu mnayo.
Kumbukeni Kuwa Dr Slaa alimkataa katakata Ludovick kuwa hamtambui.
Kumbukeni kuwa Tundu Lissu alikiri kuwa Ludo alikuwa katika mambo ya usalama wa chama akaenda mbali zaidi na kumshutumu kuwa amemkosea Lwakatare kwa kumrekodi maana Lwakatare ndio alisimamamia harusi yake na hata pale Nyumbani Ludo ni kama kwake.
Swali la kujiuliza Kwanini Dr Slaa alimkana kijana wake kipenzi? Bila shaka kuna jambo Chama kinataka kulificha.
Mwisho nawaombeni muangalie tena ile video kama kuna sehemu Ludovick alimtega Lwakatare zaidi ya pale Lwakatare alipomtaja Zitto tu. Hapo ndio alikuwa akikwepa kumpa majibu sahihi Ludovick lakini kuhusu mauaji ya morogoro , kumteka msaki na kumtupa Kigamboni na la mwisho akimsii Ludo asifanye kawa walilofanya Igunga yote hayo alisema bila ya Ludo kuingiza neno sana sana alikuwa akiitikia mh mhm mh.
Nchemba sasa anahusika vipi kwa haya? Ninalo ona mimi kosa la Nchemba litakuwa tu kama alichelewa kupeleka video polis kwa wakati lakini pia anaweza kujitetea kwa kusema alikuwa haamini ile video lakini baada ya kuona Kibanda kateswa basi akaamua kuipeleka polisi.
Wenu Mzalendo

CCM wako busy wanapaka mikakati ya kuchakachua Katiba wakati wanajitahidi kudivert attension ya wananchi!!
Mwigulu ana kesi ya kujibu
Mods nashauri hapa JF lianzishwe Jukwaa la Mwigulu Nchemba ili post za kijinga kama hizi zijazane humo!
wewe na mbowe tu.
Time wil tel
you earn how much per post comrade??
Trust me, u will regret. Remember ushauri wangu??
We ulietumwa kumteka na kumtesa Ulimboka mbona hujasema aliekutuma.
Nchemba amesema aliipeleka ile video kabla ya kufanya mahojiano na Star TV,polisi wanasema waliipata mtandaoni,we unajizia nini kuona sarakasi hii!
Kaka Hata ukimsafisha mwiguru ni mchawi wa kisiasa ,gaidi na muuaji, katika kipindi kifupi sana chini ya miaka mitano kuwa kwenye active politics tayari amehusishwa na mauaji,Igunga,Arumeru,Ndago,na sasa Dar es Salaam,hakuna sabuni au Jik itayoweza kuondoa hila za uuaji wa huyu kijana ,Plot and mission failed utamuona mahakamani atakavyokuwa akijinyea nyea pale, ni shahidi nambari moja akifuatiwa na Zitto waliyetangaza naye CD wakiwa star Tv na Denis Msaky anayesema anawindwa na chadema wakati hata hawajawahi kumhuhitaji kwa lolote
Mpaka utakapojiuliza kwanini Ludo kakamatwa ndo utakapojiona hauna jipya
Utakuwa umejielewa mwenyewe, Mwigulu over a week anakiri kuhusika na kutengeneza video sasa nchi ipi wewe unayotetea wakati gaidi namba moja Mwigulu anatangaza ubabe wa kuratibu video na polisi hawachukui hatuaNiliyoandika mimi ni maneno niliyoyasikia katika video na kunukuu maneno ya Dr Slaa na Lissu kutoka magazetini hivyo simtetei mwigulu bali na tetea nchi yangu. Na wala sitopenda CDM kivutwe ila viongozi waliousika wachukuliwe hatua za kisheria
Nadhani nimeeleweka
ulimboka mlimtesa nyie baada ya kuona mazungumzo na ikulu yamekwenda vizur kumaliza mgomo coz that day ndio kesho mgomo ulitakiwa umalizike.aliwasaliti
Nchemba amesema aliipeleka ile video kabla ya kufanya mahojiano na Star TV,polisi wanasema waliipata mtandaoni,we unajizia nini kuona sarakasi hii!