Nivile wameshajua silaha yakuteuliwa ni kusifia mtawala wao tu!Jitu Kama Mwigulu Nchemba ATI Daktari(sijajua ni daktari wa nn)linafikri MAGUFULI atakuwa Rais wa MAISHA na si ajabu ndo kundi la kina Kessy, Ngamia na Ayubu wanaopiga debe Magufuli AONGEZEWE MUDA wa Urahisi mpaka 2040 watakaporudi Bungeni Nov, 2020!! Yajayo ni kichefuchefu!
Sema ACT Wazalendo Chadema imeshakufaMkuu unadhani hapa wanaokomolewa ni CHADEMA?
Tukiharibu kwenye uchaguzi na kupata Viongozi wabovu maumivu hayatakuwa ya CHADEMA,yatakuwa kwa wananchi wote...
Tujikumbushe kwa uchache tu...
Maamuzi mabovu yaliyofanywa kwenye zao la korosho,wanamtwara na Lindi watwambie,waliokuwa CCM waliuza kwa bei kubwa zaidi ya wale wa CUF,ACT NA CHADEMA?
Watumishi wa umma waliochagua CCM wameongezewa mishahara yao kwa miaka 5 ukilinganisha na wale waliochagua UKAWA?
Mawazo Kama ya kwako,(kudhani kwamba kudai haki ni kazi ya kundi fulani),ni hafifu sana, kwani madhara ya kutokuwepo kwa haki hiyo hata wewe yatakupata
Uchaguzi wa serikali za mitaa uliharibika kutokana na Ujinga wa wapinzani. Kwani walipewa maelekezo kutoka kwa wafadhili wao kuwa wasusie uchaguzi ili endapo Nchi itaingia katika machafuko, uchaguzi Mkuu usiweze kufanyika. Kubalini kuwa hamna hoja na sera za kuwaeleza Watanzania.Mbona unayemjibu kaeleweka kwa umma. Anamaanisha nini kuhusu Tume huru. Kipindi cha nyuma maded walikuwa na Uhuru kiasi. Sijui kama unatambua kuwa hao maded ni sehemu ya Tume ya uchaguzi.
Uchaguzi wa serikali za mitaa chini ya hao maded uliharibika. Kipindi cha nyuma haukuwahi najisiwa hivi. Hiyo inatosha kusema kuna haja ya kuurekebisha huu muundo ulionajisiwa ili kuwa huru.
Kabisa. Hao waangalizi kama wanakuja waje kutembea tu. Wasikae wakategemea Nchi hii itaingia kwenye machafu kamwe.Huyu ndiye waziri wa Katiba na sheria wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Tazama alichopost na picha aliyoweka.
View attachment 1485190
View attachment 1485186
Mwambie hata Gambo alijiona mfalme ssa tuko nae mtaaniNi haki yako kutoa maoni sawa na uonavyo. Hongera kwa hilo.
Lakini pia ni haki ya wengine kuwa na mtazamo tofauti na kile unachoamini wewe.
Ukisema tuna tume huru wengine watakuuliza uchaguzi wa serikali za mitaa ulikuwa huru?
Ukidai vyombo au washirika wa nje wasiiingilie mambo ya nchi yetu wengine wenye mtazamo tofauti na wewe watakuuliza kuwa kuna matukio ya watu kupotea ama kuuawa kutokana na itikadi za kisiasa, je usalama wa mazingira ya leo ama kesho wayajua?
Niseme wazi nakushangaa sana tena sana jinsi ulivyojivika upofu kama vile hujawahi kuwa waziri wa mambo ya ndani ama kuwa mshirika wa haya mambo.
Pole sana. Huenda walioumizwa wasiweze kuchukua hatua yeyote ile, ila KUMBUKA karma is real, nayo yaja upesi sana.
Kesho ni fumbo, vilevile October ni fumbo pia.
Naipenda Tanzania, naiombea amani Tanzania.
Mola tunusuru na wasaka tonge walio wazuri kutetea maslahi binafsi kuliko maslahi mapana ya nchi.
#Fitina kwangu ni mwiko, nitasema kweli daima. (Ahadi #8 TANU)
Iko siku Mwigulu nae atakuja humu kulilia tume huru.Inasikitisha sana
Mkuu Mhe. Mwigulu Nchemba, asante sana kulizungumzia hili la Tume huru ya uchaguzi.NCHI YETU HATUJAWAHI KUFANYA UCHAGUZI BILA TUME HURU YA UCHAGUZI.
Huu Doctor wa Madelu kaupata toka Chuo gani? Itakuwa Udaktari uleule wa Mteuzi wake Mr. Jiwe aliyeghushi Udaktari wake na kina Ben Saanane walipohoji wakapelekewa Chatu.....!!!Ifike wakati Wazungu waweke limits za education awards kwa Waafrika, sure.
Hivi Doctor anaandika vitu kama hivi kweli?
Iko siku Mwigulu nae atakuja humu kulilia tume huru.
Mambo ya hovyo sana.Huu Doctor wa Madelu kaupata toka Chuo gani? Itakuwa Udaktari uleule wa Mteuzi wake Mr. Jiwe aliyeghushi Udaktari wake na kina Ben Saanane walipohoji wakapelekewa Chatu.....!!!
Unafki na uccm ni chanda na peteWakitoa misaada wanaitwa "washirika wa maendeleo"!
Alishaanza kutoa statement za kumpamba yesu wao hata kabla ya kupewa uwaziriHakika madaraka matamu.
Hivi usingepewa uwaziri ungeandika haya!.
Mkuu Mwigulu Nchemba, asante kwa hoja hii, naunga mkono hoja, Tume ya Uchaguzi ni Tume huru
Pascal Mayalla: NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama lilivyo bunge na mahakama kwa sababu vyote hivi msingi wake ni Rais
Ila naomba siku ukipata muda au nafasi, urejee kwenye bandiko lako hili,
Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020
Kuna swali hujalijibu ila pia you are free kutoyajibu.
P