Mwigulu Nchemba: Serikali imekusanya bilioni 48 kutoka kwenye Tozo za miamala ya simu kwa wiki nne

Wakikusanya mnasema wanapora mali za watu oooo mara wanaua biashara.
 
Mkuu,

Haya mambo yako siku zote. Kusema yamerudi ni uongo mtupu. Kwani yaliondoka lini?

Kuchagua receipt au kupewa ya kiwango cha chini baada ya kununua kitu ni vitu vipo miaka nenda rudi. Ukisema yalitoweka ni uongo.

Cashless economy ndio solution ya hii kitu. Watu wengi wakitumia mifumo ya POS kununua kwa kutumia cards ndio solution ya kutoa receipt halali bila kuforge. Mfano mzuri kwenye petrol station wameweka mfumo ukoweka fuel receipt inatoka automatically na hakuna janja janja inapunguza sana wizi na underdeclaration
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…