Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Na hiyo ndo lilikuwa wazo last JPM navona mnanza kumwelewa sasaWaziri Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali imekamilisha taratibu za kununua dhahabu kupitia Benki Kuu ya Tanzania kwa ajili ya kuanzisha akiba ya dhahabu hapa nchini.
Pia soma Tanzania tuhifadhi akiba yetu kwa Dhahabu badala ya Dollar
“Kutokana na kukamilika kwa ujenzi wa viwanda vya kusafishia dhahabu, Serikali itaendelea kuweka vivutio kwa viwanda hivyo ili vipate malighafi ya kutosha na ili kukamilisha hilo Serikali imepunguza mrahaba wa madini yanayouzwa kwenye viwanda hivyo kutoka 6% hadi 4%”
“Nafurahi kulijulisha Bunge kuwa Serikali imekamilisha taratibu za kununua dhahabu kupitia Benki Kuu ya Tanzania kwa ajili ya kuanzisha akiba ya dhahabu hapa nchini”
“Tunataka tunapotaja akiba ta fedha za kigeni tutaje na akiba ya dhahabu tuliyonayo, hatua hii itawapatia Wachimbaji bei nzuri na kuimarisha sarafu ya Nchi yetu, hii ni baada ya kupokea maelekezo ya Mh.Dkt. Samia na michango ya Waheshimiwa Wabunge”
Jf imejaza matahira kama hiliWazo la Magufuli lililopingwa na Lisu kwamba tutashitakiwa MIGA
Akiba ya dhahabu imekuwepo tangu tunapata uhuru 1961 chini ya Mwalimu Nyerere. Wakati wa Rais Mwinyi Augustine Lyatonga Mrema akiwa waziri ya Mambo ya Ndani alianzisha kampeni ya benki kuu kununua dhahabu moja kwa moja toka kwa wachimbaji wadogo hivyo matawi ya benki ya NBC yalinunua dhahabu kwa niaba ya benki kuu.Waziri Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali imekamilisha taratibu za kununua dhahabu kupitia Benki Kuu ya Tanzania kwa ajili ya kuanzisha akiba ya dhahabu hapa nchini.
Pia soma Tanzania tuhifadhi akiba yetu kwa Dhahabu badala ya Dollar
“Kutokana na kukamilika kwa ujenzi wa viwanda vya kusafishia dhahabu, Serikali itaendelea kuweka vivutio kwa viwanda hivyo ili vipate malighafi ya kutosha na ili kukamilisha hilo Serikali imepunguza mrahaba wa madini yanayouzwa kwenye viwanda hivyo kutoka 6% hadi 4%”
“Nafurahi kulijulisha Bunge kuwa Serikali Serikali imekamilisha taratibu za kununua Dhahabu kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa ajili ya kuanzisha akiba ya dhahabu hapa nchini (Gold Reserve)"
“Tunataka tunapotaja akiba ta fedha za kigeni tutaje na akiba ya dhahabu tuliyonayo, hatua hii itawapatia Wachimbaji bei nzuri na kuimarisha sarafu ya Nchi yetu, hii ni baada ya kupokea maelekezo ya Mh.Dkt. Samia na michango ya Waheshimiwa Wabunge”
All Truth labda alikuambia wewe peke yako kilaza mkuu weweNa hiyo ndo lilikuwa wazo last JPM navona mnanza kumwelewa sasa
Kama migodi ni ya Tanzania na Dhahabu ni mali yetu! Nashauri ili tuwe na Akiba kubwa kuliko hata World Bank, migodi yote ya dhahabu tuwalipe wazungu then iwe kama kitengo/Idara ya Benk Kuu.Waziri Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali imekamilisha taratibu za kununua dhahabu kupitia Benki Kuu ya Tanzania kwa ajili ya kuanzisha akiba ya dhahabu hapa nchini.
Pia soma Tanzania tuhifadhi akiba yetu kwa Dhahabu badala ya Dollar
“Kutokana na kukamilika kwa ujenzi wa viwanda vya kusafishia dhahabu, Serikali itaendelea kuweka vivutio kwa viwanda hivyo ili vipate malighafi ya kutosha na ili kukamilisha hilo Serikali imepunguza mrahaba wa madini yanayouzwa kwenye viwanda hivyo kutoka 6% hadi 4%”
“Nafurahi kulijulisha Bunge kuwa Serikali Serikali imekamilisha taratibu za kununua Dhahabu kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa ajili ya kuanzisha akiba ya dhahabu hapa nchini (Gold Reserve)"
“Tunataka tunapotaja akiba ta fedha za kigeni tutaje na akiba ya dhahabu tuliyonayo, hatua hii itawapatia Wachimbaji bei nzuri na kuimarisha sarafu ya Nchi yetu, hii ni baada ya kupokea maelekezo ya Mh.Dkt. Samia na michango ya Waheshimiwa Wabunge”
Mi mwenyewe nimebaki kushangaa tu, ila yule mwamba alijua kuwaozesha watu fulani akili aisee. Dah!🤣🤣🤣🤣Jf imejaza matahira kama hili
Sawa, pitia pia post #6Kwa mujibu wa mwingulu, bot itaanza kununua DHAHABU na kuziweka kama akiba, ikumbukwe kwamba kwa mataifa mengine , ni jambo lililoanza zamani. Hata hivyo kwa Tanzania wazo lilitolewa na JPM ambapo alianza kwa kuanzisha maduka ya DHAHABU.
Hawa wasijifanye kwamba ndio wanaanzisha wazo kumbe uongo mtupu.Waziri Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali imekamilisha taratibu za kununua dhahabu kupitia Benki Kuu ya Tanzania kwa ajili ya kuanzisha akiba ya dhahabu hapa nchini.
Pia soma Tanzania tuhifadhi akiba yetu kwa Dhahabu badala ya Dollar
“Kutokana na kukamilika kwa ujenzi wa viwanda vya kusafishia dhahabu, Serikali itaendelea kuweka vivutio kwa viwanda hivyo ili vipate malighafi ya kutosha na ili kukamilisha hilo Serikali imepunguza mrahaba wa madini yanayouzwa kwenye viwanda hivyo kutoka 6% hadi 4%”
“Nafurahi kulijulisha Bunge kuwa Serikali Serikali imekamilisha taratibu za kununua Dhahabu kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa ajili ya kuanzisha akiba ya dhahabu hapa nchini (Gold Reserve)"
“Tunataka tunapotaja akiba ta fedha za kigeni tutaje na akiba ya dhahabu tuliyonayo, hatua hii itawapatia Wachimbaji bei nzuri na kuimarisha sarafu ya Nchi yetu, hii ni baada ya kupokea maelekezo ya Mh.Dkt. Samia na michango ya Waheshimiwa Wabunge”
Haya mawazo wapinzani walishayatoa kitaaaambo!!Na hiyo ndo lilikuwa wazo last JPM navona mnanza kumwelewa sasa
Sio kweli jamani! Hahaaa lisu alipinga kuvunja mikataba holela na kuonya tutashitakiwa na tayari tuna kesi!?? Kwa kifupi wewe ni punguani!! Unaedhani JPM alikuwa Mungu mtuWazo la Magufuli lililopingwa na Lisu kwamba tutashitakiwa MIGA
Nakushauri nenda jando ngosha akili zikae sawa!!Wazo la Magufuli lililopingwa na Lisu kwamba tutashitakiwa MIGA