Akiba ya madini ya chuma Tanzania itasaidia sekta ya ujenzi, reli, viwanda nchini kuacha kuagiza bidhaa za mazao ya chuma cha pua steel n.k hivyo kuondokana kutumia dollar kuagiza steel
Zimbabwe wameweza kuazia mgodi mkubwa kabisa wa chuma barani Afrika
Ni kama mzinga wa nyuki wengi wakiwa na shughuli ya kuzalisha asali, katika eneo la kitovu cha ujenzi wa kiwanda cha chuma cha Manhize nchini Zimbabwe. Mradi huo umekamilika nusu kulingana na kampuni ya ujenzi ya Dinson Iron and Steel Company.
"Ujenzi wa kiwanda cha chuma cha Manhize umekamilika kwa asilimia 50 kutokana na bidii, weledi- ujuzi, kujitolea na umoja wa kitimu wa wafanyakazi unavyofanya tekeleza majukumu ," kampuni hiyo ilitweet mapema mwezi huu.
Ni mradi muhimu kwa mipango ya uwekezaji ya Rais wa Zimbabwe mheshimiwa, Emmerson Mnangagwa chini ya uongozi wake ambao umefungua nchi kwa kauli mbiu ya biashara.
ikiwa na kiwanda cha kaboni na chuma chenye urefu wa kilomita 1.5 kwa 600, mgodi wa madini ya chuma, na kiwanda cha ferrochrome, mradi huo utakuwa na uwezo wa kuzalisha tani milioni 1.2 kwa mwaka na takriban watu 500 wanatazamiwa kunufaika kupitia ajira.
Mradi huo, ambao utakuwa kiwanda kikubwa zaidi cha chuma kilichounganishwa barani Afrika, unatarajiwa kuanza uzalishaji mwezi Agosti mwaka huu 2023
Eneo hilo pia liko karibu na Chikomba katika Mkoa wa Mashonaland Mashariki na Mhondoro katika Jimbo la Mashonaland Magharibi.
Kiwanda hicho ambacho pia kitakuja na mji mpya, kimeibua msisimko mkubwa katika eneo la Chikomba huku jamii ya eneo hilo ikitarajia kupata faida za kutengeneza ajira na upatikanaji wa huduma za kijamii.
Manhize, soon to be biggest iron and steel plant in Africa
It is a beehive of activity at Manhize steel plant construction site in Zimbabwe. The project is halfway complete according to construction firm Dinson Iron and Steel Company.
“Manhize steel plant construction is 50 percent complete due to the diligence, skills, commitment and unity of our working family,” the company tweeted early this month.
It is a key project for President Emmerson Mnangagwa’s investment programmes under his Zimbabwe is open for business mantra.
Equipped with a 1.5km-by-600-metre carbon and steel plant, an iron ore mine, and a ferrochrome plant, the project will have the capacity of 1.2 million tonnes a year and about 500 people are set to benefit through employment.
The project, which will be Africa’s largest integrated steel plant, is anticipated to start production in August this year
The area is also near Chikomba in Mashonaland East Province and Mhondoro in Mashonaland West Province.
The plant, which will also come with a new town, has generated a lot of excitement in Chikomba as the local community expects to reap the benefits of job creation and availability of social services