Mwigulu Nchemba: Serikali kuanzisha akiba ya dhahabu nchini

Swali langu:
1. Hadi sasa hatuna akiba ya GOLD?
2. TANZANITE iliyonunuliwa na JPM ipo au imeuzwa?
Hili li nchi ukipata fursa ya kupiga we piga kwa sababu UZALENDO KWA SASA UNATAFSIRIKA KAMA NI UFUKALA
 
Serikali itanunua kwa wachimbaji wadogo kwa Tsh. Nafikiri inapaswa kuwa na refinery yake. Mpango mzuri shida ni ufisadi
 
Issue ya kutunza na kuwa na akina ya dhahabu imeanza kuzungumzwa tangu mwaka 2013,alafu useme CCM italetea watu maendeleo never.Akili za waziri kilaza.
 
Sasa wachimbaji watakula wapi

Alafu ni ngumu, itahitaji usimamizi mkubwa apo ndo watapiga sana
Unafahamu kwamba kuna migodi ya dhahabu Nyerere alivyofukuza wazungu aliweka kambi za wanajeshi waikalie?
 
Kwa mujibu wa mwingulu, bot itaanza kununua DHAHABU na kuziweka kama akiba, ikumbukwe kwamba kwa mataifa mengine , ni jambo lililoanza zamani. Hata hivyo kwa Tanzania wazo lilitolewa na JPM ambapo alianza kwa kuanzisha maduka ya DHAHABU.
Kwahiyo yale maduka ya dhahabu yakiyoanzishwa ni kwa ajili ya serikali kununua dhahabu?
Kwa maana hiyo unataka kusema kuwa Tanzania hakuna dhahabu zilizotunzwa na serikali?
Sijui waTanzania tumekuwaje
 
Huu utaratibu wa BOT kununua dhahabu kwa wachimbaji wadogo ulikuwepo hapo zamani kukosa uaminifu kwa ngozi nyeusi ikapelekea hasara kubwa kwa serikali maana wafanyabiashara wakishirikiana na wafanyakazi serikalini/bot waliuza dhahabu feki na kulipwa mamilioni ya pesa. Sina hakika kama wameweka utaratibu sawia kufanikisha lakini kupitia maduka ya madini yaliyopo maeneo mbalimbali nafikiri itawezekana ingawa swali ni kwamba huo uaminifu utakuwepo au umerudi lini kwetu ikiwa watu wanaweza kufisadi pesa zinazotunzwa BOT sembuse dhahabu?​
 

Mikataba ya Tanzania kulinda kampuni kubwa za uchimbaji madini ya dhahabu ni kizingiti kigumu. Je ikiamua kununua kutoka kwa wachimbaji wadogo raia wa kiTanzania itachukua serikali miaka mingapi kufikia akiba kubwa himilifu ya kutosha ?

Accra, Ghana

Introduction of policy exposing government's desperation. - Dr Kwabena Donkor

Source: Joy News TV
 
Mambo yote haya yalishafanywa huko nyuma swali ni moja je kwa sasa sisi ni waadilifu? Maana tatizo kubwa kwa nchi hii ni ukosefu wa uadilifu.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
BOT nao walinunua moja kwa moja nakumbuka mjomba angu alipotoka huko machimbo Msumbiji tulienda kuuza BOT kule forest ya Zamani Mbeya alichukua cash yake tukaondoka...
 
Ila nimeshangaa sana hii nchi ilikua haina gold reserve miaka yote hiyo? Aisee CCM ni zaidi ya mashetani
Walioingia juzi humu jamii forum hawawezi kujua kwamba hizo anazoongea Mwigulu ni ngonjela tu tumezizoea,nchi ina dhahabu ina Almas alafu haina reserve AJABU sana na mbaya zaidi wapumbavu wanadhani tunaongozwa na wenye akili kumbu vilaza WATUPU.ss tulishajua muda kwamba tunaongozwa na vichaa tu kama akina Mwigulu ambaye hajawahi success ktk wizara yoyote aliyopewa eti ana PHD nadhani ni ya uganga wa kienyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…