Mwigulu Nchemba, tafadhali kafute mabango yako barabarani!

Mwigulu Nchemba, tafadhali kafute mabango yako barabarani!

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
9,524
Reaction score
13,682
Ukiwa na matumaini makubwa ya kuwa raia namba moja nchini, ulianza kampeni mapema kwa kuandika mabango kwa mamia katika maeneo yote muhimu na pia katika structures nyingi zilizo barabarani nchi nzima!

Kwa kuwa umegonga mwamba katika matumaini yako tafadhali tumia mbinu zile zile ulizotumia kuyaandika mabango hayo kuyafuta kwani sasa yamekuwa uchafu!
 
Nilitegemea baada ya jina lake Kukatwa, angewahi kufuta haraka sana. ...Kwa kweli ametuchafulia madaraja yetu. .

Namshauri afute haraka kabla Magufuli hajawaha Prezo
 
hahahahahaha. kuna kbanda kpo moro pale relini pia kachafua hewa kwa kuandka jna lake
eti "mwigulu raisi"
inatakiwa awajibishwe tena haraka sana
 
Kiboko yake Makongoro. Mtu tumekuonjesha tu unaibu Katibu Mkuu na ww unajidai!

Ww ni nani?
Ha ha ha Makongoro bhana nomaaa
 
Kiboko yake Makongoro. Mtu tumekuonjesha tu unaibu Katibu Mkuu na ww unajidai!

Ww ni nani?
Ha ha ha Makongoro bhana nomaaa

hahahaah Makongoro alipelekwa hapo kwa kazi hiyo tu ya kuwapa makavu wasiotakiwa.
 
hv ni nani kwanza alekua anaandka. . au n yeye mwenyewe anaingia nyt anachora af anasepa?
 
Back
Top Bottom