Mwigulu Nchemba, tafadhali kafute mabango yako barabarani!

hakuna haja ya kuyaondoa a-edit tu sehemu ya neno URAIS aandike UBUNGE
 
Huyu mwigulu hafai hata kuwa diwani! Tunaomba ukasafishe barabara zote nadhani Magufuli utamjua sasa
 
Tena kweli aisee! Ikiwezekana mwenye namba zake aweke hapa ili tuanze kumsisitiza aondoe takataka zake!

Isitoshe "mwenye mabarabara" ndio huyo kawa mgombea, japo hatapita kuwa rais!
 
Hata ile round abaut pale usagara kaandika Mwigulu Nchemba nadhani ujumbe umeupata na utaufanyia kazi kabla hatujamwapisha rais
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa na matumaini makubwa ya kuwa raia namba moja nchini, ulianza kampeni mapema kwa kuandika mabango kwa mamia katika maeneo yote muhimu na pia katika structures nyingi zilizo barabarani nchi nzima!

Kwa kuwa umegonga mwamba katika matumaini yako tafadhali tumia mbinu zile zile ulizotumia kuyaandika mabango hayo kuyafuta kwani sasa yamekuwa uchafu!

Na yale mawe mikoani pia akayafute
 
NEMC kamata Mwigulu na kumshtaki mahakamani kwa kuchafua mazingira nchi nzima. Halmashauri husika pia wafanye hivyo kwa hili toto tundu hili kutumia maliasili zao kama mbao za Matangalu bila kulipia ushuru.
 
Ni kweli kabisa.

Energy iliyotumika kuyaandika mabango hayo itumike pia kuyafuta,
kwani sio sehemu ya mapato ya mabango kwenye halmashauri zetu.

Wengine tunaweza kutafsiri mabango yale kama sauti ya mtu aliyekuwa nyikani
kumtambulisha waziri wa ujenzi kilahisi hadi kuibuka mshindi.

Hongera sana Mh.J P Magufuli kupitishwa na chama chako kuwa mgombea
Urais.
 
Ukiwa na matumaini makubwa ya kuwa raia namba moja nchini, ulianza kampeni mapema kwa kuandika mabango kwa mamia katika maeneo yote muhimu na pia katika structures nyingi zilizo barabarani nchi nzima!

Kwa kuwa umegonga mwamba katika matumaini yako tafadhali tumia mbinu zile zile ulizotumia kuyaandika mabango hayo kuyafuta kwani sasa yamekuwa uchafu!
weka picha
 
Mawe karibu yote barabarani kuanzia Singida mpaka Mwanza yameandikwa maneno ya kampeni kuhusu jamaa tena kwa spray paint..kwel atumie mbinu zile zile kuyafuta
 
Back
Top Bottom