Mwigulu Nchemba, tafadhali kafute mabango yako barabarani!

Mwigulu Nchemba, tafadhali kafute mabango yako barabarani!

Pale daraja la Ruvu,mageti ya kuingia Mikumi,madarajani karibu kote along Dar-Zambia road duh.
 
Juzi nimepeleka Rangi shuleni kwangu o level kwenda kufuta machata niliyochora miaka 10 iliyopita.

Mwigulu aanzie huku Namtumbo kwanza
 
Kweli kabisa..yaani kuanzia biharamulo,chato..mwanza hadi baliadi..jamaa limechafua
 
Atabaki rais wa mawe na madaraja pamoja na magofu nchi nzima. Vinginevyo akayafute kabisa
 
Kazi ya kufuta maandishi yake barabarani ni muhimu sana.
Awahi kabla Magufuli hajayaona.
 
Kuna daraja fulani nililiona nikiwa naelekea shule ya Baobab Bagamoyo, limeandikwa kwa rangi MWIGULU RAIS 2015, aiseeee akafute!!
 
Kuna mawe yapo njia ya kutoka moro kwenda mikoa ya kati na kaskazin yote kachakaza
 
Kweli kila mkoa atakoma kuyafuta na inabidi atumie pesa tena tu
 
Back
Top Bottom