Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
hakuna haja ya kuyaondoa a-edit tu sehemu ya neno URAIS aandike UBUNGE
Sasa huk Magu ubunge wake unatuhusu nini.. afute haraka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna haja ya kuyaondoa a-edit tu sehemu ya neno URAIS aandike UBUNGE
hakuna haja ya kuyaondoa a-edit tu sehemu ya neno URAIS aandike UBUNGE
Mawe karibu yote barabarani kuanzia Singida mpaka Mwanza yameandikwa maneno ya kampeni kuhusu jamaa tena kwa spray paint..kwel atumie mbinu zile zile kuyafuta
Sasa huk Magu ubunge wake unatuhusu nini.. afute haraka
Kwa hiyo atakuwa mbunge wa Tanzania nzima? Lowasa we! (siku hizi lowasa ni tusi)
Sasa huk Magu ubunge wake unatuhusu nini.. afute haraka
Ni ushauri mzuri lakini aandike katika akili za watu kwa kufanya kazi kwa bidii na kukemea rushwa na ubadhilifu wa mali ya umma na si kwa kutuchafulia madhali ya mazingira na structures zetu!!!!Namshauri Mwigulu akaweke 2025 badala ya 2015. Si mbaya ni maandalizi yajayo. Na hiyo itamsaidia kila akipita njiani yatakuwa yanamkumbusha nia yake na hivyo kuongeza jitihada katika uteendaji. Kweli katika miezi kuelekea kutangaza nia Mwigulu alionekana kujitambua. Kumbe watu wengine wanaamua kuwa na uchizi tu. Wakati mwingine wanakuwa watu wa maana. Hongera Mwigulu naomba uendelee kuwa mzalenda hivyo hivyo kwani sina wasiwasi utaendelea kuwa waziri kama CCM ikishinda.