Mwigulu Nchemba, tafadhali kafute mabango yako barabarani!

Haka kajamaa mimi binafsi huwa sikapendi kabisa!
Sijui kwa nini huwa kana vile vijitabia kama vya kale kajamaa kanakoitwa February Manyuzi.!
 
Kuna siku nasafiri toka Dar hadi Songea na Mbinga nakutana na chata zake tu hadi nafika, kweli ni uchafu!
 
Naona kwa sasa ataweza maana atawatumia wafungwa wa kila wilaya kuyafuta
 
Musoma, mwanza yaani kama vile yeye ndiye mwanasiasa aliyesalia nchini (siku moja naenda dodoma nikitokea arusha barabara hiyo ni shida mawe yamechorwa maandishi yake arusha hadi dodoma)
 
Halafu itakuwa alomtuma kuandika kote nchini ni mtu mmoja, maana mwandiko unafanana
 
Akitaka kugombea tena atashindwa masharti kwa kuanza kampeni mapema. Haoni kama ni tatizo kwani yupo kwenye serikali ya jpm huku anaendelea na kampeni ya urais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…