Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu lowassa aje UKAWA Naona kama akili zimekuruka,unatetea visivyo tetewaKwani kuna ushahidi gani kuwa aliandika yeye?
Naona kwa sasa ataweza maana atawatumia wafungwa wa kila wilaya kuyafutaUkiwa na matumaini makubwa ya kuwa raia namba moja nchini, ulianza kampeni mapema kwa kuandika mabango kwa mamia katika maeneo yote muhimu na pia katika structures nyingi zilizo barabarani nchi nzima!
Kwa kuwa umegonga mwamba katika matumaini yako tafadhali tumia mbinu zile zile ulizotumia kuyaandika mabango hayo kuyafuta kwani sasa yamekuwa uchafu!
Vipi kuhusu zile kombati za cuba?Ni mmoja wa wagombea ambae nilikuwa najiuliza, anajiamini kwa kipi? Yaani nilikuwa simkubali hata chembe, aendelee kuvaa skafu yake tu.
Sasa hivi kapewa rungu la kuwadhibiti wapinzani tutakomaMchafuzi mkubwa wa mazingira
Siyo tu huko mtwara ni tanzania mzima mkuuHuku mtwara kwenye madaraja rais wetu mwigulu kha
Makongoro ni mbia wa tbl huyoKiboko yake Makongoro. Mtu tumekuonjesha tu unaibu Katibu Mkuu na ww unajidai!
Ww ni nani? Ha ha ha Makongoro bhana nomaaa
Ha ha ha hivi baada ya kampeni siku hizi yu wapi jamaa yangu?Makongoro ni mbia wa tbl huyo
Yule anategemea uhamisho wa mkewe anako hamishiwa naye anaunga telaHa ha ha hivi baada ya kampeni siku hizi yu wapi jamaa yangu?
Halafu itakuwa alomtuma kuandika kote nchini ni mtu mmoja, maana mwandiko unafananaUkiwa na matumaini makubwa ya kuwa raia namba moja nchini, ulianza kampeni mapema kwa kuandika mabango kwa mamia katika maeneo yote muhimu na pia katika structures nyingi zilizo barabarani nchi nzima!
Kwa kuwa umegonga mwamba katika matumaini yako tafadhali tumia mbinu zile zile ulizotumia kuyaandika mabango hayo kuyafuta kwani sasa yamekuwa uchafu!
Akitaka kugombea tena atashindwa masharti kwa kuanza kampeni mapema. Haoni kama ni tatizo kwani yupo kwenye serikali ya jpm huku anaendelea na kampeni ya urais.Ukiwa na matumaini makubwa ya kuwa raia namba moja nchini, ulianza kampeni mapema kwa kuandika mabango kwa mamia katika maeneo yote muhimu na pia katika structures nyingi zilizo barabarani nchi nzima!
Kwa kuwa umegonga mwamba katika matumaini yako tafadhali tumia mbinu zile zile ulizotumia kuyaandika mabango hayo kuyafuta kwani sasa yamekuwa uchafu!