NYANYADO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 3,804
- 2,482
Moja liko pale karibu na dawasa nikipata huwa nacheka sn
Ukiwa unatoka mbweni , Bunju Bagamoyo .ikifutwa anarudia kuipaka tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moja liko pale karibu na dawasa nikipata huwa nacheka sn
Ukiwa unatoka mbweni , Bunju Bagamoyo .ikifutwa anarudia kuipaka tena.
Kazi ya kufuta maandishi yake barabarani ni muhimu sana.
Awahi kabla Magufuli hajayaona.
Ninakerwa na maandishi ambayo yameandikwa "Mwigulu Rais 2015"
Nchi hii siyo ya wahuni, watafute uliowatuma wayaandike wakayafute barabara zote...
Ile ni ishara ya umbumbumbu, sijui hata uwaziri ulipewaje wewe,, kweli huu utawala wa majuha..
Kwa CCM mligombea 38, wote mgeandika nchi hii si ingekua gazeti?
aahhh KAFUTE UPESI, ,,,
Eti Wakuu,hivi huyu Lameck Nchemba alidhamiria kabisa kuwa Mwaka huu watu wamchague kuwa Rais wa Tanzania?
Huyu mwigulu huwa linapenda sana misifa utadhani halijasoma sifa nyingi mno
wa ajabu sana kijana huyu...
cc to Mwigulu Nchemba
cc to@Mtela Mwampamba