Mwigulu Nchemba, tafadhali kafute mabango yako barabarani!

Mwigulu Nchemba, tafadhali kafute mabango yako barabarani!

Ukiwa na matumaini makubwa ya kuwa raia namba moja nchini, ulianza kampeni mapema kwa kuandika mabango kwa mamia katika maeneo yote muhimu na pia katika structures nyingi zilizo barabarani nchi nzima!

Kwa kuwa umegonga mwamba katika matumaini yako tafadhali tumia mbinu zile zile ulizotumia kuyaandika mabango hayo kuyafuta kwani sasa yamekuwa uchafu!

hajui kwamba mabango na mibuyu na miti na kuta zilzoandikwa jina lake ni kosa la Uhaini. Mmmmh uhaini unaopingana na Rais wako aliye madarakani kihalali halafu unajitangaza Mwigulu 2015. nini sasa.
 
Mtu mwenye akili timamu alitakiwa kuliona hili ni tatizo hatuwezi kuwa na marais wawili, na sijui kwa nini mpaka leo hii hajashitakiwa na sijui kama anayalipia yale matangazo yake
 
Katika harakati za kuhakikisha mkono unaenda kinywani, nimezunguka Tanzania japo sijaimaliza yote ila mikoa na wilaya nyingi nimefika,kitu kinacho ni staajabisha ni kuona barabara nyingi zikiwa zimepambwa kwa maneno Mwigulu Rais
images.jpeg

ni nani alifadhiri watu kufanya hayo maana kuanzia singida kwenye yale mawe pale kati kati ya singida na dodoma, maneno hayo yapo.
Tanga kule karibia na Pongwe kwenye yale mawe pembezoni mwa Barabara pia kuna maneno MWIGULU Rais.
Ukiwa unaenda dar es salaam kwenye lile daraja lenye njia ya treni juu napo kuna maandishi hayo ya kampeni kwa Mwigulu.
Njia ya Moshi katikati ya Mombo na Mwanga kwenye
Najua wana Jf ni watu wenye kujua mambo kwa undani naomba mnitoe matongo tongo ni wakina nani wamehusika kufanya hayo...?
 
Katika harakati za kuhakikisha mkono unaenda kinywani, nimezunguka Tanzania japo sijaimaliza yote ila mikoa na wilaya nyingi nimefika,kitu kinacho ni staajabisha ni kuona barabara nyingi zikiwa zimepambwa kwa maneno Mwigulu RaisView attachment 954131

ni nani alifadhiri watu kufanya hayo maana kuanzia singida kwenye yale mawe pale kati kati ya singida na dodoma, maneno hayo yapo.
Tanga kule karibia na Pongwe kwenye yale mawe pembezoni mwa Barabara pia kuna maneno MWIGULU Rais.
Ukiwa unaenda dar es salaam kwenye lile daraja lenye njia ya treni juu napo kuna maandishi hayo ya kampeni kwa Mwigulu.
Njia ya Moshi katikati ya Mombo na Mwanga kwenye
Najua wana Jf ni watu wenye kujua mambo kwa undani naomba mnitoe matongo tongo ni wakina nani wamehusika kufanya hayo...?
Halafu mwandiko ni huo huo maeneo yote, ina maana kwamba huyo mtu alisafiri nchi nzima kuandika hayo maandishi.
 
Hivi Mwigulu atabandika tena mabango yake au ameishiwa pumzi!
 
Kwa heshima na taadhima nikuombe sana Dr Mwigullu ukayafute matangazo yako ya kugombea urais yanayosomeka kwenye madaraja makubwa nchini.

Kama ulivyoyaandika basi tumia utaratibu ule ule ukayafute tafadhali.

Huu ni mwaka wa uchaguzi matangazo kama yale yaliyopitwa na wakati yanaweza kuleta sintofahamu kwa baadhi ya wapiga kura huko mbeleni.

Maendeleo hayana vyama

cc: Wakudadavuwa
 
Mnawakosea Watanzania, mnaamini ni wajinga kiasi hiki..!!
 
Wapiga kura ni wenye ‘akili’ timamu, iweje mabango yawapotoshe.... mbona mwaka 2015 hawakuchanganyikiwa na hayo mabango uchwara japo mgombea hata hakufika hatua ya mchujo..?
 
Kwa heshima na taadhima nikuombe sana Dr Mwigullu ukayafute matangazo yako ya kugombea urais yanayosomeka kwenye madaraja makubwa nchini.

Kama ulivyoyaandika basi tumia utaratibu ule ule ukayafute tafadhali.

Huu ni mwaka wa uchaguzi matangazo kama yale yaliyopitwa na wakati yanaweza kuleta sintofahamu kwa baadhi ya wapiga kura huko mbeleni.

Maendeleo hayana vyama

cc: Wakudadavuwa

Kama kuna Mtu ambaye hadi hivi leo najiuliza PhD yake ameipataje kwani haiakisi kabisa Upeo wake mdogo wa Kiakili alionao ni huyu.
 
Kama kuna Mtu ambaye hadi hivi leo najiuliza PhD yake ameipataje kwani haiakisi kabisa Upeo wake mdogo wa Kiakili alionao ni huyu.
Huyo Alipata first Class YUDIZIMU.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
@"johnthebaptist, John una vituko sana! Sasa nini sababu ya kum cc Wakudadavuwa? Hujui alishatemwa toka anyang'anywe ofisi na Kange? Usicheze na Wakudadavuwa katika maslahi!

Yeye anataka matawi ya juu mwenzake. Anyway tuache hayo, kwa nini usimshauri ale dili na jasusi ili yale matangazo amuuzie hati miliki wanafuta jina la Mwigulu tuu na kuchomeka Rais 2020 Bernard?
Atajipatia posho ya hatimiliki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom