Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
nimeona moja ya maandishi yanasema mwigulu nchemba TUOKOE ...uku geita aliandika kwa mkaa madaraja yote uyu
NIMECHEKA SANA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimeona moja ya maandishi yanasema mwigulu nchemba TUOKOE ...uku geita aliandika kwa mkaa madaraja yote uyu
Ukiwa na matumaini makubwa ya kuwa raia namba moja nchini, ulianza kampeni mapema kwa kuandika mabango kwa mamia katika maeneo yote muhimu na pia katika structures nyingi zilizo barabarani nchi nzima!
Kwa kuwa umegonga mwamba katika matumaini yako tafadhali tumia mbinu zile zile ulizotumia kuyaandika mabango hayo kuyafuta kwani sasa yamekuwa uchafu!
Halafu mwandiko ni huo huo maeneo yote, ina maana kwamba huyo mtu alisafiri nchi nzima kuandika hayo maandishi.Katika harakati za kuhakikisha mkono unaenda kinywani, nimezunguka Tanzania japo sijaimaliza yote ila mikoa na wilaya nyingi nimefika,kitu kinacho ni staajabisha ni kuona barabara nyingi zikiwa zimepambwa kwa maneno Mwigulu RaisView attachment 954131
ni nani alifadhiri watu kufanya hayo maana kuanzia singida kwenye yale mawe pale kati kati ya singida na dodoma, maneno hayo yapo.
Tanga kule karibia na Pongwe kwenye yale mawe pembezoni mwa Barabara pia kuna maneno MWIGULU Rais.
Ukiwa unaenda dar es salaam kwenye lile daraja lenye njia ya treni juu napo kuna maandishi hayo ya kampeni kwa Mwigulu.
Njia ya Moshi katikati ya Mombo na Mwanga kwenye
Najua wana Jf ni watu wenye kujua mambo kwa undani naomba mnitoe matongo tongo ni wakina nani wamehusika kufanya hayo...?
Aliyechora akisaidiwa na Tume ya uchaguzi!Nani atagharamia?
Kwa heshima na taadhima nikuombe sana Dr Mwigullu ukayafute matangazo yako ya kugombea urais yanayosomeka kwenye madaraja makubwa nchini.
Kama ulivyoyaandika basi tumia utaratibu ule ule ukayafute tafadhali.
Huu ni mwaka wa uchaguzi matangazo kama yale yaliyopitwa na wakati yanaweza kuleta sintofahamu kwa baadhi ya wapiga kura huko mbeleni.
Maendeleo hayana vyama
cc: Wakudadavuwa
Labda anayegombea ndio afanye hiyo kazi maana ni rahisi kupata ufadhili au kuingia mfukoni ikiwa unagombea au kama una nia ya kugombea.Aliyechora akisaidiwa na Tume ya uchaguzi!
Huyo Alipata first Class YUDIZIMU.Kama kuna Mtu ambaye hadi hivi leo najiuliza PhD yake ameipataje kwani haiakisi kabisa Upeo wake mdogo wa Kiakili alionao ni huyu.