IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
Viwanja vyetu vingi vya michezo hapa Nchini ni vibovu sana labda ukiacha tu Majaliwa Stadium iliyoko kule Ruangwa na ubovu wa viwanjwa hivyo unasababisha Timu bora kama Yanga inashindwa kupata matokeo inapokwenda mikoani kule”
“Napendekeza kusamehe kodi ya ongezeko la thamani kwenye nyasi bandia kwa ajili ya viwanja vya mpira vilivyoko kwenye Majiji kwa kuanzia, msamaha huo utahusisha ridhaa kutoka TFF na jambo hili Waziri wa Michezo amelipigania sana".
“Lengo la hatua hii ni kuendeleza michezo na kukuza vipaji hapa Nchini tukifanikiwa kwenye Majiji bajeti zinazofata tutakwenda Manispaa na baadae tutakwenda kwenye viwanja mpaka kwenye Timu"
Swali yanga iliyokua imechukua ubingwa mara tatu mfululizo ilikua inashinda Dar pekee na kaitaba tu?
Na vipi wanaopata matokeo wana wachezaji wa aina gani?