Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Kwahiyo, does it justify the death of thousands innocent Tanzanian On 29th octomber?Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amesema Serikali imeanza kutekeleza ilani ya Chama ambapo mpaka sasa Serikali imeajiri walimu 7,000 ndani ya zile siku 100 alizoahidi.
*** kweli wewe na mbuzi wenzio,yaani tusiendelee na maisha tubaki tunalia na waliouawa oktoba 29!?..mngetuliza makalio ndani yasingetokeaKwahiyo, does it jusyify the death of thousands innocent Tanzanian On 29th octomber?
Wenzako elfu 7 wamekula ajiraTapeli kazini!
Mlifanya uhuni mkakutana na wahuni zaidi yenu, leo kila mada mnakuja na kauli za kutia huruma.Kwahiyo, does it jusyify the death of thousands innocent Tanzanian On 29th octomber?
Safar hii mkiingia tena road natoka na gobore langu niwawinde nyie nyumbuKwahiyo, does it jusyify the death of thousands innocent Tanzanian On 29th octomber?
Kauli kama hizii Huwa Zina uondoa ubinadamu wangu...kauli kama hii ukiitoa kwa watu walio poteza wapendwa wao PERHAPS KISU CHA SHINGO KINGEKUA KINA BEMBEA SHINGONI MWAKO*** kweli wewe na mbuzi wenzio,yaani tusiendelee na maisha tubaki tunalia na waliouawa oktoba 29!?..mngetuliza makalio ndani yasingetokea
Kama kawaida yenu ku-justify upuuzi wenu kwa kudai waliouawa siyo waandamanajiKauli kama hizii Huwa Zina uondoa ubinadamu wangu...kauli kama hii ukiitoa kwa watu walio poteza wapendwa wao PERHAPS KISU CHA SHINGO KINGEKUA KINA BEMBEA SHINGONI MWAKO
October 29 nilipanga kwenda bahari beach kwa moja ya best friends wangu.
Najua ninge force kurudi kwangu na Kwa kua tulikua na mazoea ya kua na chaguzi za amani. Ilikua ni mistake kwangu nisinge kua hai Leo.
Nayasema haya kama raia mwema ambae sijawai kupewa walau suspension kutoka primary mpaka university...sijawai kulala lock up nafuata katiba na taratibu za hili taifa na ni mlipa Kodi mtiifu sana..
NB. KUNA JAMAA MEDICAL REP. AKIWA MAENEO YA NYUMBANI KWAO AKAPIGWA RISASI YA MKONONIIIII..KAPATA ULEMAVU NDIO KWANZA ANAANZA MAZOEZI YA KUKUNJA NA KUKUNJUA KIGANJA mkono mweusiii ni raia wema wa ngapi wamepata matatizo yaliyo pelekea kukatishwa uhai wao bila hatia na huruma..
Madrasat mlifundishwa kuuwa na ugaidiKama kawaida yenu ku-justify upuuzi wenu kwa kudai waliouawa siyo waandamanaji
Ubungo waandamanaji maalum waliokua wamefugwa na 'madame' wa chuo kikuu kama wajibu wake wa kiroho,walirudj maeneo ya chuo na kumwambia madame huko wazalendo hawatanii,wanapiga za kichwa,kifua kwa hiyo wao hawaandamani tena
Muulize magu na mkapa,ukishindwa muulize bush na BlairMadrasat mlifundishwa kuuwa na ugaidi
Dini ya haki ndo ina support mauaji na wizi wa kuraMuulize magu na mkapa,ukishindwa muulize bush na Blair
Nimekwambia wa kuwauliza,ongeza na nyerereDini ya haki ndo ina support mauaji na wizi wa kura
Madrasat mlifundishwa ugaidi na kuuwa watu
Kweli hiyo dini ya kobazi ina maana halisi ya ugaidi na ukatiliNimekwambia wa kuwauliza,ongeza na nyerere
Halafu kura gani uliibiwa wakati hujupiga kura na chama chako hakikushiriki!?
Hao ni wahuni wanaoichafua dini kwa kutenda matendo maovu. Usiwafungamanishe na dini.Kweli hiyo dini ya kobazi ina maana halisi ya ugaidi na ukatili
Huwa na majibu ya kukera na maudhii walio wai kuingia mkenge na Mimi Huwa humu ndani tunapitana kama tuna aga MAITIKama kawaida yenu ku-justify upuuzi wenu kwa kudai waliouawa siyo waandamanaji
Ubungo waandamanaji maalum waliokua wamefugwa na 'madame' wa chuo kikuu kama wajibu wake wa kiroho,walirudj maeneo ya chuo na kumwambia madame huko wazalendo hawatanii,wanapiga za kichwa,kifua kwa hiyo wao hawaandamani tena
Dogo kaharibiwa na uchawaHuwa na majibu ya kukera na maudhii walio wai kuingia mkenge na Mimi Huwa humu ndani tunapitana kama tuna aga MAITI
So huto tamani kuiona hii 🆔 yangu maana utakua uki ingia hapa Jf lazima ukiona hii username unapata kichefu chefu labda uwe na vipande vya ndimu na limao pembeni...
Huwa naku heshimu na katu HATUJAWAI KUKOSEANA ADABU Wala kuvunjiana heshima..
Napenda hii hali ya kuto vunjiana heshima iendelee so tuufunge huu mjadala wangu Mimi na wewe kwenye hili jambo Leo.
Kwa hiyo mliua vijana 10000 ili muajili walimu kenge sana hawa maCCMWaziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amesema Serikali imeanza kutekeleza ilani ya Chama ambapo mpaka sasa Serikali imeajiri walimu 7,000 ndani ya zile siku 100 alizoahidi.
Nikimwona huyu jamaa yangu alie pigwa risasi za mikono.. MTU MWEMA KABISA HUNIFANYA NIWAZE MENGI SANA.Dogo kaharibiwa na uchawa